Recent content by SHITUGO

  1. SHITUGO

    JamiiForums Tanzania Naona vijana hawafanyi kazi siku hizi, kazi kusuka mikeka tu

    mtoa maada waache wafanye shughuli inayowaingizia pesa ya kutosha, usiwalazimishe kufanya shughuli ambayo haina faida, kama wasingekuwa wanafaidika wasingeendelea kuifanya hiyo kazi, mlizoea kuwanyonya mkombozi wao amekuja amekuja.
  2. SHITUGO

    JamiiForums Tanzania Mtoto akichunga Ng'ombe anakuwa Dikteta ukubwani

    sema tu ukwel usipindishe
  3. SHITUGO

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    leo nimetoka hiv
  4. SHITUGO

    JamiiForums Tanzania Mkuu Wa wilaya asema atafanya fujo

    wamsamehe bure hakujua alitendalo
  5. SHITUGO

    JamiiForums Tanzania Zombi wa Zanzibar, genge linalolindwa na Watawala

    unayonena ni kweli, halafu wanajulikana maeneo wanayopatikana muda wote wapo, mfano nyuma ya kituo cha polisi cha mwanakwelekwe
  6. SHITUGO

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    watumie email, mimi nimekaa zaidi ya wiki mkuu ndo nimepata jana tena kwa vitisho
  7. SHITUGO

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

    nilisoma tabora boys mwaka 1999-2002
  8. SHITUGO

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kwani hata mikoani ofisi zao zinapatikana, nilitumia m bet nadai m 1 na ushee
  9. SHITUGO

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    msaada wadau maana pesa ndefu kweli
  10. SHITUGO

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hivi huyu kanji anamatatizo gani, toka jumapili mechi ya layo vallicano ilipoahirishwa hadi leo hii pesa yangu sijapata, kila nikiwasiliana nao wanasema 24 ours nitapata fedha yangu, mpaka sasa wadau sijapata chochote, wakati walisema wazitoa odd za timu iliyoahirishwa zinazobaki wazitume
  11. SHITUGO

    JamiiForums Tanzania Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

    hatari
  12. SHITUGO

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hapo mancity ndo adui yako
  13. SHITUGO

    JamiiForums Tanzania Nimeumwa na nge sehemu za kiume, nitumie dawa gani jamani?

    muwe sirious jaman jamaa anaomba msaada
Back
Top Bottom