Recent content by Shishi

  1. Shishi

    Hizi SALON za kiume za massage na Kushave balaa

    hizi salon kazi kweli kweli....nilikwenda wakati mmoja na my numero uno..akieda kunyolewa....yaani mzee mmoja babake mtu...amelala usingizi akisikizia sijui ni massage ya kichwa..halafu the gal places the clients head btn her boobs eh!!!! weee nikasema mweh!!!!
  2. Shishi

    Ndio kuachwa huku au?

    jamani next time hebu tumia punctuation marks....duh...hakuna hata breki!!!
  3. Shishi

    Wanaume tuwe wasafi jamani!

    kwani hotelini tuuuuuuuuu..yaani hapa kuna mkwe wangu ansukutua mdomo kwenye sink dining rooom,,,,naskia kumfikuza...hebu nipeni advice lol!!!
  4. Shishi

    Wanaume tuwe wasafi jamani!

    Baeleze ndugu baelewe!!!
  5. Shishi

    Mpenzi/Mke akisema "naondoka" mwanamme afanye nini?

    wakuondoka kikweli wala hasemi...anafungasha kimya kimya..unarudi kutoka kazini unampata kaondoka...huyo anakutingishia tu ahahahhaha
  6. Shishi

    Gone Too Soon: RIP JF Member.....Chetuntu!!!

    RIP DADA CHETUNTU...Kila nafsi itaonja mauti!
  7. Shishi

    Mwanampotevu nimerudi sijui mtanikaribisha?

    Duh karibu zipuwazi....ooooooooooooops!! hivi ya arabuni vipi? yule mpenzi wako? usha'do' hivi karibuni ama tubinti twa kiarabu bado tunachemsha!!
  8. Shishi

    Anapenda ku-date wanawake wenye mimba tuu

    Lahaula!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  9. Shishi

    Shangazi kaja na mchumba kutoka kijijini...Mwenzenu nipo dillema!

    argggggghhhh.bwana mambo ya kutafutiwa mke yalipitiwa na wakati ....afanye moyo wake unalotaka....siku maji yakishinda unga huko mbeleni hao ndugu zake watamsaidia????????
  10. Shishi

    Ahsante Mungu, wife amejifungua salama

    hongereni na Mwenyezi Mungu awaajalie kwa hali na mali mkalee vizuri....kabinti kangu keko eti!
  11. Shishi

    Chemsha bongo MMU....

    Lips!!!!!
  12. Shishi

    Addicted to "Bar Maids"

    waswahili wa pemba....na vilemba vyao! vipi teamo! Long time!
  13. Shishi

    Msiwaonee wababa...

    very true Lizzy..it takes two to tango!!!
  14. Shishi

    Okoa ndoa hii

    isnt it too late for this???? yeye yaani kakumbushia na mchotara wake hakutumia hata kinga....afadhali mtoto je angepata na ngoma!! watu wengine hawasaidiki bwana!!
  15. Shishi

    Jamani am back.....kabinti kangu!!!

    taratibu basi....babake yupo! ama ulikuwa watakaje? fungua roho yako LOL!!
Back
Top Bottom