Mnamezeshwa upuuzi sauli hizo biashara alifanya wewe ulikuwepo? Kuchafuana tu,fanyeni kazi acheni majungu watanzania msione mtu ana ghorofa basi knatafuta ya kusema.....nyambafu
Hapa kidogo umechemka hata ukitazama hali iliyopo sasa ni wageni wengi wamekuja tz na wanaajiriwa na still wengine wanavamia mpk ardhi ili walime na kufuga je unadhani faida yetu nini?
Kaka ngoja tusubiri km hatujaambiwa udsm imebinafsishwa na kizulu kitakuwa lugha ya lazima kwa kila mwanachuo....ukipita udsm lazima uanze UTINIWENA......unasikia tu ........UTINIWENA BRA.....mweeeeeh....bora kufa kibudu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.