huu siyo mwaka wa ahadi,hizo ahadi wanapaswa wazitoe wapinzani,ccm walipaswa watuelezee wamefanya nn na wameshindwa wapi na kwasababu gani,ili tuone kama kweli wanastahili kupewa kura vinginevyo wanapoteza muda wao.
unajua ccm wanapaswa kujua kuwa,watu wanataka mabadiliko wamechoshwa na story zao,kiufupi hatuitaki ccm hata asimame OBAMA hatutarudi nyuma.tunasubiri siku tukafanye yetu
Zitto naomba ujue kuna watu wanaomba mungu kwa ajiri ya ukombozi wa nchi yetu sasa wewe jifanye unataka kutuvuruga lazima ujue mambo yako yote yako peupe acha ujinga,hivi wewe unafikiri kushangiliwa bungeni ndiyo sifa ya kuwa raisi?muliyo teta na jk yanajulikana shauri yako.
Umeongea mambo ya maana sana sister langu.kwani unafaa kuwa mshauri wa mapenzi.
Lakini kuna wanaume huwa wamepanga kuoa lakini wanagundua kuwa mdada aliyempenda hana sifa za kuwa mke,bac anaamua kuachana naye.
Nnape naomba aelewe kazi moja ambayo wananchi waliipa serikali ya chama chake nikusimamia rasilimali za nchi nakuhakikisha zinamnufaisha mtanzania siyo kuvua gamba sijui kutoitana waheshimiwa na mengineyo ambayo ndiyo wanayoyafanya sasa hivi twiga anaweza kukizwa kwenye ndege na kwenda kuuzwa na...
Kwanza napenda kukupongeza kwa uamzi uliouchukua wakutangaza nia ya kugombe urais kupitia chadema mwaka 2015, hilo nijambo zuri na ni haki yako kikatiba lakini wasiwasi wangu usije ukawa umetumwa kwani mbona umeshatangaza kutogombea ubunge manake unauhakika utapishwa kugombea au umeshaunda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.