Kwa mara ya kwanza nimeona mgombea wa CCM kaongea kitu cha maana

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,144
15,144
Japo bado nia yangu ni kuwanyima kura ili kuwaadhibu kwa mlicholifanyia taifa hili angalau kwa mara ya kwanza nimekutana na kitu kina-make sense.. Magufuli akihutubia Karatu alisema hivi;

He also vowed to protect wildlife, which is found in the country’s parks, saying that his government will intensify the war against natural resources misuse.
“Our resources must be protected at any cost. I’m going to ensure that no elephant or any other wildlife is lost ... these are important creatures for the country’s identification and source of foreign currencies,” he pointed out.

Ila bado mnastahili kuadhibiwa kwa kunyimwa kura kwa sababu tumewaamini kwa miaka mingi mkatuona masakala
More tourists on Magufuli plan
 
Mimi sijaona mabadiliko. Hayo ni maneno matupu kwamaana na huyo mnae sema mabadiliko ndoo alilalamikiwa kwamba ni miongoni mwa wezi walio tuibia sasa hivi amebadilika nini. Mwizi ni Mwizi tu. Tabia haina dawa
 
Japo bado nia yangu ni kuwanyima kura ili kuwaadhibu kwa mlicholifanyia taifa hili angalau kwa mara ya kwanza nimekutana na kitu kina-make sense.. Magufuli akihutubia Karatu alisema hivi;

He also vowed to protect wildlife, which is found in the country's parks, saying that his government will intensify the war against natural resources misuse.
"Our resources must be protected at any cost. I'm going to ensure that no elephant or any other wildlife is lost ... these are important creatures for the country's identification and source of foreign currencies," he pointed out.

Ila bado mnastahili kuadhibiwa kwa kunyimwa kura kwa sababu tumewaamini kwa miaka mingi mkatuona masakala
More tourists on Magufuli plan

Mkuu,

Kaongea kwa kiingereza au???
Maana naona nyota vile
 
Magufuli ni bonge la prezidaa, chini ya uangalizi wa dola ataacha mambo ya kupigisha watu mbizi baharini.
 
huu siyo mwaka wa ahadi,hizo ahadi wanapaswa wazitoe wapinzani,ccm walipaswa watuelezee wamefanya nn na wameshindwa wapi na kwasababu gani,ili tuone kama kweli wanastahili kupewa kura vinginevyo wanapoteza muda wao.
 
wote huwa wanasema hivyo hivyo. tatizo ni mfumo wapo watu waliomfanya apate hiyo nafasi hao ndio wanaoiangamiza nchi. kumbuka kingunge alishaonya watz;" MAGUFURI HAKUPATIKANA KIHALALI, KATIBA ILIKIUKWA"
 
Nafuu CCM walitumia vikao halali kufanya hivyo ili kumkwepa mtu aliyedhamiria kuupata urais kwa nguvu ya pesa. Ndo hata Msekwa alivyosema alipoulizwa na waandishi wa habari. Swali je Lowasa alipatikana kwa njia halali kuwa mgombea wa CHADEMA?
 
Japo bado nia yangu ni kuwanyima kura ili kuwaadhibu kwa mlicholifanyia taifa hili angalau kwa mara ya kwanza nimekutana na kitu kina-make sense.. Magufuli akihutubia Karatu alisema hivi;

He also vowed to protect wildlife, which is found in the country’s parks, saying that his government will intensify the war against natural resources misuse.
“Our resources must be protected at any cost. I’m going to ensure that no elephant or any other wildlife is lost ... these are important creatures for the country’s identification and source of foreign currencies,” he pointed out.

Ila bado mnastahili kuadhibiwa kwa kunyimwa kura kwa sababu tumewaamini kwa miaka mingi mkatuona masakala
More tourists on Magufuli plan

mbona maguful haongei na kingereza? umeisikia wap hii mkubwa?
 
Back
Top Bottom