Ndugu zangu, kama umewahi kupeleka mtu yeyote mgonjwa utaniambia hiki nilichoona mimi ni sawa ama si sawa. Nilisindikiza rafiki yangu mwaka Juzi aliuguliwa mtoto mgongo wazi kufika pale ikawa huduma mbovu huduma hadi umpatie rushwa daktari ndio ahudumiwe, bahati mbaya sana mtoto akafariki...
wadau najua wengi mnauelewa wa machine ( encubetor ) yenye kuweza kumudu mazingira ya kitanzania kwa maana ya umeme kukatika katika na nahitaji pia kupewa bei inauzwa shi ngapi na inachukua mayai mangapi na maelekezo yote
Nipo mwanza, sengerema wilAyani
Hosea 4:7 "The more they increased, the more they sinned against me. I will change their glory into shame" says the Lord
Clouds TV wamepanuka na kuvimbiwa pride and glory. Sasa mkono wa bwana na hasira yake ni kubwa sana. Kitendo kile cha kumleta MTU yule kuitia najisi (defile) Tv hiyo...
Tanzania ni kubwa kuliko Rwanda lkn kuna resources nyingi kuliko population through that concept kukitokea full utilization ya resources zetu Rwanda itakuwa mbaya kuliko tz...
Tunahitaji standing firm leader(s) kama huyu Hodari ngosha JPM ili kufikia malengo
Think out of the box...The system was corrupted he is in need to amend the way...lkn tatzo watu wengi hawataki changes na wengine wapo ktk transition ya kubadilika lkn elewa KTU. Wengi vbaraka wa ubeberu na ubepari wa nataka kumkwamisha mh. Rais lkn elewa mm sio pro ccm au chadema I used to hate...
Kama unaamini hvo sio mwana ccm means to say ni kwa ajili ya watanzani ndo maana anasema tumuombee hayupo kwa ajili ya ccm wala cdm wala cuf ni zawadi yawa tz. Kwa minajili hyo basi ndie chosen one wa maendeleo ya watz kwa hl taifa..
Hicho cheyo the might JPM nimemtunuku kwa aina ya nguvu ya kupambania hii nchi bila woga na kwa utashi wake...unajua ushauri mwingi utampoteza Mr. Presda bora HVO hvo
Mtume Paul moja kati ya wafuasi (disciple) wa Yesu kristo alisema.. Hata uwe na imani ya kuhamisha milima bila matendo ni kazi bure...
Rais Paul Kagamewa Rwanda kipindi anaingia madarakani miaka mitatu ya awali alichukiwa sana na wananchi wanasiasa (siasa uchara) wahijumu uchumi wa nchi ya...
Jkt ni kuharibu viongo vya siri vya mabinti....
Kuna dem mmoja nafanya nae kazi sura ni mzur ila anaongea matusi hadi sura unaona imrchachuka kisa JKT.
Mm naona madem wasiwe wanaenda kwakwel
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.