Mtume Paul moja kati ya wafuasi (disciple) wa Yesu kristo alisema.. Hata uwe na imani ya kuhamisha milima bila matendo ni kazi bure...
Rais Paul Kagamewa Rwanda kipindi anaingia madarakani miaka mitatu ya awali alichukiwa sana na wananchi wanasiasa (siasa uchara) wahijumu uchumi wa nchi ya Rwanda na raia wengi walimuita didkteta. lakina Rais huyu alikuwa na imani na huku akitenda alicho kiamini, kitu ambacho kimeipelekea Rwanda Leo kuwa na 2% ya rushwa na ufusadi kupotea katika nchi hiyo.
Rais Joseph je, ana imani na huku akitenda?Ukiangalia ni rais ambaye anaonyesha interest na Kagame that's why alimutembelea alipo toka Chato, hii kwangu ni taswira nzuri the might Pombe Magufuli anafuata nyao za imani bila matendo ni bure.
Imani yangu baada ya miaka minne hatuta kuwa tunakuja humu tuna ghiribu utawala wa Magufuli.Maana viwanda vitakuwa badhi vimeanza kazi kama vya nyama na ngozi.Reli ya kati itakuwa imekamilika na blueprint nyingine zitakuwa zinaendelea.
Huwezi kuwa na nchi ya maendeleo kama ukiachilia demokrasia holela huwezi ukapiga hatua itakuwa unapiga mark time.
#KUBALI The genius JPM