Wengine akili zetu haziendi mbali na tulipo, tukishiba wali na ndizi mbivu msibani mtaani kwetu, tunaomba utokee Tena msiba mwingine mtaani! Lakini unaweza kuwa ni wewe. Huu siyo mchango kwenye hoja iliyotolewa Ila ni kuhimiza Wana jf kujibu hoja kwa makini kwani zinahusu maisha ya wananchi.
Natamani hii ingefanywa Kama tafiti ya kisomi ili kupata majibu sahihi yatakayosaidia eneo la mtoa mada. Vilevile na maeneo mengine ya nchi yetu. Dunia hujifunza kwa makosa na mapungufu. Naomba kuwasilisha.
Kwa umri wangu Hawa vijana siwaelewi. Nakumbuka wakati tuko jeshi la kujenga taifa miaka ya 70,jioni kulikuwa na kipindi Cha nyimbo. Wakati tuko kwenye hicho kipindi mwenzetu mmoja akapiga mruzi. Afande alikasirika sana na kututaka kumtaja aliyepiga mruzi la sivyo atatuadhibu. Kati yetu hakuna...
Mleta mada hapa hata sielewi andiko lako. Nilitegemea kupata hoja za msingi kutokana na utendaji wa mh. Lema ili zitumike kama kipimo cha kutochaguliwa tena na wananchi wa jimbo lake. Tuletee hoja siyo porojo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.