Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,828
Hao ni Mbegu ndugu,chukulia wore hao hivi Sasa Wana miaka 13 miaka mitano ijayo watakua na miaka 18 .Hapo walipo Sasa hivi wanapata Elimu murua kabisa ya uraia na uchungu, Hawa utakapofika mda wa kujiandikisha hawaitaji kushawishiwa Bali wait ndio watakua wanawshawishi wengine.Na Hawa hawatakuiba I kuibiwa kura.Hawa wakiona matokeo yanacheleweshwa Hawa watakua na nguvu ya kufanya maamuzi magumu.
Kwa sababu wewe Ni kipofu wa akili huwezi kuyaona hayo.
Hiyo ni Mbegu mbaya Sana kwenu nyie wezi wa kura.Siki hazigandi.
Uko sahihi
Kwa professor J, wanajifunza hana matusi