Recent content by shikiki

  1. S

    JamiiForums Tanzania This is how my life is going on! Nani mwingine anaishi kama hivi?

    hilo ni tatizo, sio hali ya kawaida hiyo, una kitu kinaitwa "Post traumatic stress Disorder" ambapo hii inatokana na kitu kibaya ulichowahi kuki experience before au una hofu ya kitu flani, hivyo kukupelekea kuwa na stress muda wote ndomana una kuwa na maisha uliyokua nayo hivi sasa. Nikwambie...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Maneno makali ya kukatisha tamaa ulioambiwa ulipomtongoza

    hahahaaaa pole sana mkuu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Chuo cha mipango Dodoma

    Daah nimependa sana ushauri wako aisee.... ni kweli kabisa unayosema....shukrani
  4. S

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya tatu ya mikopo 2015/16

    Msaada wenu jamani S3502/0063/2009
  5. S

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    daah ni kweli kabsaa...Mungu aingilie kati kwenye hili...maana mambo magum sana...!
  6. S

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    kwahiyo mkuu kuna uwezekano wa mimi kuweza kupata awamu nyingine...kwa jins ulivyoona????
  7. S

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    tafadhali nami naomba mniangalizie s.3502.0063.2009
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nashindwa elewa profile yangu msaada please kwa wale wa nacte

    Yah nipo dar.....thanx mkuu.. itabidi niende nikajue nini tatizo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nashindwa elewa profile yangu msaada please kwa wale wa nacte

    Katka profile yangu nimeandikiwa NOT SELECTED... Na katka machaguo manne kati ya matano niliyoomba nimeambiwa NOT ELIGIBLE...ila chaguo moja ndo nmeandikiwa ELIGIBLE niwait for selection....sasa nashindwa kuelewa niwait for selection wakat wamenambia not selected!!!! Msaada wadau jaman niwait...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Njia ya kupambana na huzuni na hisia zenye kuumiza moyo

    Hahahahaaa aisee umenifurahisha sana tuu.....daah yan hapa napigia picha mtu kavaa viatu vya kubana anavyotembea sasa.....hahahaha
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mambo yashaanza kunoga NACTE!

    same here mi pia sijaona kitu zaid ya capacity kupungua tuu.....yaan nimechanganyikiwa sielewi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Daah i miss u ni bonge la love story aisee ....naipenda sana yani
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mungu akisema ndio hakuna binadamu wa kupinga

    Mungu wetu anajibu kwa wakat sahihi......na ajibu kila hitaji la moyo wako...Amen
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tangu nimekuwa na huyu mwanaume sina amani katika maisha yangu

    Unaongeaga point sanaa....love yew
  15. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa kusamehe walionufaika mikopo ya HESLB

    Hahahaaa well said mkuu...ur a great thinker
Back
Top Bottom