Recent content by Shijaf

  1. Shijaf

    Camouflagers na informers

    l
  2. Shijaf

    Weekend story: Bad wives

    y5y0yyyyy 5y 55 54
  3. Shijaf

    Wa Mazengo Complex tukumbushane

    chitinde,mshumbusi, na wimbo wa maazengo shule yetu twaipenda sana twaitakia....,
  4. Shijaf

    Jibu hesabu yangu kam kweli unaweza kujibu

    jibu ni tatu
  5. Shijaf

    Mimi ni mwanafunzi niliemalza kidato cha sita na kufanikiwa kuingia chuo kikuu ila nsina uwezo

    pole dogo nichangamoto ambazo ili ufanikiwe lazima uzipitie.usikate tamaa ni mapema sana halafu ni dhambi vilevile kukata tamaa. Jaribu kutafuta sponsor japo huwa ni ngumu ila kuna watu wanafanikiwa.jaribu ku-google DAAD na kama mkatoliki jaribu KAAD.
  6. Shijaf

    Madaktari hurudisha fedha walizopewa kama mkopo kwa HESLB?

    wewe ndio muongo na mpotoshaji wa kutupwa,kama unalo ongea huna uhakika nalo ni bora uulize wahusika ukaelimishwa kuliko kuongea kiti kwa msisitizo wakati ni uongo, doctors kama watu wengine walio kopeshwa wanatakiwa kulipa kila kitu walicho kopeshwa, hiyo kusema wamesomeshwa bure,au hawalipi...
  7. Shijaf

    Mashehe wawataka madaktari kusitisha mgomo

    Mashehe Wanashusha heshima kwa kutumiwa,wanatia huruma.
  8. Shijaf

    msaada jamani mtoto hachezi kama mwanzo

    Hongera kwa kupata ujauzito.ila pole kwa kuwa na wasiwasi kwa hiyo hali,kwa kawaida hasa kwa ujauzito wa mara ya kwanza mtoto huanza kucheza week ya 16 hadi 20,lakini kwa ujauzito wa pili au zaidi huwahi week 2 au 3Kabla ya week ya 16 na kwa siku za kwanza huwa hawi active sana,kwa hiyo usiogope...
Back
Top Bottom