Mmh mimi nashagaaa kusema nimkutano wa wazee wa dar mbona kuna vijana wangi snaa bas tusema mkutano wasiasa tu wengine wamevaa kijani yaan ccm halafu mkuu wa mkoa anatoa matokeo ya chaguz nakukisifu chama cha maccm hahaha hii ni kwa tanzania pekeee
Hii nchi watu wake baz sio baz tulio wegin hatuna akil timamu ndo maana hata nchi yetu masikin hata sisi wenyewe hatujuwi kwann ni masikin ni kwa sababu ya ujiga wetu kama huu wa kina sitta wanafanya uhuni sisi tupo tu kama hatu vile yaan watanzania ni mataira tulio wegi ndo maana hatuna hata...
Sisi wala hatuna wasiwasi maana si wamejidaganya waka zan na sisi wametudaganya sasa tupo nyumba moja tutaedelea kuwapa elimu wananch hasa vijijin wawa katae
Maccm yataiba sana kura lkn mwisho wasiku hawatashida sisi tupo na mungu na wao wako na shetan maana wamediriki kuchakachuwa rasim ya katiba adi kura za wabunge basi hao tuwaweke kudi gani bila shaka la shetan. Sisi tuna simamia maon ya wananch ndo tupo na mungu daimaaaaa
Mm binafs nina was was matokea atakayo ya tagaza maana jamaa atahakikisha amechakachuwa hata za wale walio piga hapana akizifanya za ndiyo na kujarbu kutuaminisha kuwa walio piga hapana baada ya kamati ya maridhiano waliewa nakubadilisha kura nakuwa za ndiyo na wale wa wili walio tishiwa...
Hehehehe anaitwa anakonda kwetu nimnyama pori et vijana wenye akili timamu yaan ili jamaa lishaba kwel au ana dhani sisi ni washaba kama yeye mdomo kama ananyonya ubuyu wee
Watawala watanzania wanaraha sana kwa sabau asilimia kubwa wanaowaogoza niwajiga ndo maana wanafanya wanavyopenda maana hakuna wakuwauliza na wenye uelewa niwachache wamekuwa wakijarbu kupaza saut wananyamazshwa maana niwachache sana. Ombi langu wananch tuugane pamoja tuukatae uonevu huu wa watala
Kijana jaa nying sna halafu eti vijana wanafuu kuwania urais hahahaha bado snaaa kama ndo vijana wenyewe tunatumika ka condom halafu tunapotea kisiasa bado snaaaaa
Hahahaha mchanga mchanga si ndo jina lake eee huyu jamaaa nipumba kbsa tamko lenyewe kaadaliwa naye kalipost kama lilivyo eti vijana wanafaa kuwania urais ndo hiv hahahaha bdo sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.