SASA WEWE UNAPOSEMA VERY SAD KWA LIP? UNATAKA WALIPWE 200mil? acha ushabiki kama ww n mmoja au ndgu wa hao basi imekula kwako. AHSANTE IKULU KWA UFAFANUZ MAANA WAKAT MWINGINE VYOMBO VYA HABAR VINAPOTOSHA MFANO. Taarifa ya kuwavkila mjumbe alilipwa 500000/day watu wengi sana wanajua hvyo so nan...
Hakuna point hapo. Huyu mtumish bwana anachekesha sana, Binafisi sion kama kuna utabiri wowote zaidi ya kubun mbinu za kufikisha malalamiko yake kwa Mh raisi.Hisia zake ndo iwe ndoto kutoka kwa Mungu? Haiko vile mm sikubalian naye atafute jingine
Mmeliona hlo tuu. Vp waliotaka kusafilisha wale .. Na baadae kukamatiwa uwanja wa ndege. Vp kes zao ziliishia wap jaman?. Mnyonge sheria kwake n msumeno lakn kama huyu jamaa yuko vzr mbona itapindishwa tu, utasikia upelelez bado huku watu fran fran wakiendelea kufaidi.
Nyie mmekosa kaz za kufanya! Karbun tuchome mkaa maana ndo maisha ya tz. Siyo ccm wala cdm wote ni njaa tu. Hv unafikri cdm ikishika dola italeta badiliko gan. Heb kama kuna mzalendo anipe report leo Dar junia la mkaa bei gan?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.