Ikiwa ni siku chache tangu Mbunge wa Nkasi Kaskazini ALLY KESSY awasilishe maoni ya kutaka Bunge lipitishe azimio la kumshinikiza Mhe. Rais Dkt JOHN POMBE MAGUFULI, leo Juni 11, 2020 katika hafla ya uzinduzi wa jengo la Tarura na Zima moto Jijini Dodoma ameeleza Muda wake ukiisha ataondoka...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo Kupitia Akaunti yake ya Mtandao wa Twitter Ametangaza katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa Kufanyika Oktoba Mwaka huu.
Uamuzi huo ameutoa wakati akijibu swali lililoulizwa na Mwandishi wa Habari Ezekiel Kamwaga.
Hata hivyo hajabainisha jimbo...
TAARIFA YA HIVI PUNDE
02 March 2020
NG'OME YA MAALIMU SEIF YASAMBARATISHWA - PEMBA
Mbunge wa Jimbo la Wawi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kwa tiketi ya CUF Ndugu Mohammed Juma Ngwali amejivua vyeo vyake vyote ndani ya Chama hicho na kuomba kujiunga na CCM leo.
Mbunge huyo ambaye...
Kaimu Balozi wa Marekani katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Inmi Patterson anakiuka mkataba wa Kidiplomasia kwa kufanya mikutano ya siri na Chama cha ACT-Wazalendo Visiwani Zanzibar.
Akiwa Visiwani Zanzibar Kaimu Balozi huyo wa Marekani amefanya kikao cha siri na Mshauri wa Chama cha...
Gazeti la the Economist la Nchini Uingereza kupitia idara ya Economic Intelligence inayoshughulika na tathimini ya masuala ya Demokrasia Duniani, kwenye ripoti ya Mwaka 2019 ya tathimini ya Demokrasia, Tanzania imeshika nafasi ya 13 kwa Afrika na 95 Duniani.
Kwa upande wa Nchi za jumuiya ya...
Nimeona vijana wengi hasa wa Upinzani kwa maksudi kutokana na Chuki binafsi, ushabiki wa vyama na ufahamu hafifu wanapotosha kwambaTRUMP ameitaja rasmi Tanzania miongoni mwa Nchi saba zitakazo wekewa vikwazo kwa Raia wake kuingia Nchini humo.
Usahihi wa habari:
Rais wa Marekani DONALD TRUMP...
Naibu waziri wa ofisi ya Rais TAMISEMI amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu atagombea ubunge wa Jimbo la Tarime vijijini. Ameongeza anatamani CHADEMA kimpitishe JOHN HECHE kugombea Jimbo hilo.
Nauona Mwisho wa Heche katika siasa za Tanzania ikumbukwe katika siku za hivi Kari uni alishindwa...
Na- Zephrine Tesha, Morogoro
Nimekuwa kwa muda mrefu nafuatilia habari katika mitandao zinazoandikwa na baadhi ya viongozi wa dini kwa waumini wao, watanzania na ulimwengu kwa ujumla kuhusu Taifa pendwa la Tanzania lenye amani, upendo na ushirikiano, nimegundua Tanzania isipokuchukua hatua...
Na Munis Swai, ARUSHA.
Kuna jambo tunapoelekea Noeli ya Xmas na Mwaka mpya 2020 lazima turudi nyuma tujitakase. Hivi ninapoandika hapa tayari kwa Tanzania kuitwa wanaharakati ni doa kubwa, kwa nini?
Kwanza, kuna wanaharakati uchwara wameivamia hii tasnia yenye malengo mema ya kufanya advocacy...
Katika uga wa taaluma ya sayansi ya Siasa moja ya viashiria vya uchaguzi kuwa huru na haki ni kuwepo kwa Wagombea wenye Sifa na Nguvu sawa au zinazokaribiana.
Kinadharia CHADEMA imekuwa ikijipambanua kama Chama chenye Demokrasia kuanzia jina lake, ni katika muktudha huo ilitarajiwa na...
Kuna baadhi ya wadau katika mitandao ya kijamii wameonyesha kushtushwa na ujenzi wa mahakama mpya ya kisasa wilayani Chato na wengine kwenda mbali zaidi na kuonyesha hisia za upendeleo kwa Wilaya hiyo kwa kuwa Mhe Rais anatoka eneo hilo.
Ama kweli jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza...
Sisi Tukitazama Juu, Vibaraka wa Mabeberu Wanatazama Chini
Walifurahi sana kusikia imekamatwa. Walikesha wakiomba isitolewe ili wacheke. Wamefeli sana.
Leo hii aibu zimewajaa. Wanainamisha vichwa chini kwasababu hawana la kusema. Wameumbuka sana.
Sisi tunaangalia juu tukiwa na nyuso zenye...
YALIYOJIRI LEO DESEMBA 12, 2019 KWENYE MKUTANO WA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA RELI TANZANIA (TRC), MASANJA KADOGOSA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MAFANIKIO YA TAASISI HIYO KATIKA MIAKA MINNE YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO
#TRC ilianza kazi rasmi mwezi Machi 2018 na iliundwa kupitia Sheria Na...
Punguza hisia za uvyama, mambo yaliyowazi ni kuwa Chadema walienda Mwanza kwa ndege binafsi ya kukodi ushahidi wa picha umewasilishwa. Mbowe hawezi kufanya ujinga wa kutumia fedha binafsi wakati Chama ni Mali yake na familia Mtei.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.