Recent content by shida

  1. S

    Idara ya Maliasili ipo kweli!?.

    Kama kukutwa na Maliasili ya taifa ni kosa iweje wale jamaa waliomuua yule nyoka huko Arusha,Idara ya Maliasili haijawachukulia hatua wauaji ilhali sura na wanapopatikana kunajulikana!?. Kwa sababu serikali haiamini ushirikina.
  2. S

    Nimebakwa na mjomba wangu

    Kweli kabisa!,utamu ukikolea (maana utamu ushakuja) ndio aje atuelezee tena hii story.
  3. S

    Mapenzi ya now days afadhari kutembea na mme wa mtu

    Eeeh bibie hajajua siku hizi!, Mapenzi ni sawa na Jojo (Chewing gum) ikiisha utamu tafuta nyingine shida za nini bwana!,Wanaume wako wengi mbona, ukibinjua mtako tu wanajileta wenyewe!.
  4. S

    Picha ya Prezzo akimpiga busu la huba Vera Sidika yazua utata

    Domo asaidiwe kupata semina jamani yaelekea hajui kutongoza! Amekuwa mzee fisi anasubiri mizoga ajishindie.
  5. S

    Watanzania wengi wanalala Stoo/Store

    Inaonyesha jinsi gani ulivyo limbukeni wa maisha,Hebu taja au onyesha aliyewahi kuja mjini na kwenda moja kwa moja kuishi nyumba iliyokamilika au isiyokuwa chumba kimoja!. Wewe inaonyesha kwanza bado uko kwa shemeji au Kaka yako.
Back
Top Bottom