Recent content by SHEVCHENKO

  1. SHEVCHENKO

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais Samia aanguka ghafla wakati wa kampeni Mbalizi, Mbeya

    Huo muanguko ni wa kawaida tu ni heart attack tu hiyo inaweza kumpata mtu yeyote tuu.
  2. SHEVCHENKO

    JamiiForums Tanzania Nyumba Milioni 65 China Hazina Watu. Zinatosha Kwa Kila Mtanzania Kuwa na nyumba yake

    Jamaa alikuwa na ubinafsi kidizaini
  3. SHEVCHENKO

    JamiiForums Tanzania Msaidizi alipotukanwa na mwenye nyumba kwenye veranda, mmiliki wa awali akamwambia tu namaliza mchezo kuwa mvumilivu. 8/100

    Nasubiri nimjuee huyo chawa aliekwangua vocha kwa ukucha
  4. SHEVCHENKO

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Mwinyi: Tuna akaunti maalum ya kulipa madeni, nitaondoka madarakani sitaacha deni hata la Senti 5

    Kabisa hawa jamaa uhakika upo 100% ndio maana hana wasiwasi.
  5. SHEVCHENKO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nimeaibika kwenye tendo

    Mkuu saa 3 sio nyingi kweli maana mi nafika hadi saa mbili kitu bado iko doro yani sio powa
  6. SHEVCHENKO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nimeaibika kwenye tendo

    Vipi hiyo maji ya kitunguu maji naweza kutumia hata nikiwa sina shoo
  7. SHEVCHENKO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nimeaibika kwenye tendo

    Tuanze na ipi
  8. SHEVCHENKO

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kutahiri mtoto mchanga

    Mkuu kwenye hilo nakupinga. Mimi nimepata tohara nikiwa darasa la sita nikiwa na miaka 14 kwa wakati huo lakini napitia changamoto sana upande wa nguvu na sikuwahi kujihusisha kwenye maswala ya kipuuzi. Kwahyo kwenye hilo nakukatalia abadani
  9. SHEVCHENKO

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu prenuptial agreement au mkataba wa ndoa kabla ya kuoana?

    Hiyo kidogo ndiyo hawataki kuisikia sasa hawa wanaharakati yani ukishaingia kwenye mfumo tu kazi unayo
  10. SHEVCHENKO

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu prenuptial agreement au mkataba wa ndoa kabla ya kuoana?

    Vipi kwa waisilam mnashughulikia vipi wanawake ambao wanaingia kwenye ndoa kwa malengo ya kitapeli
  11. SHEVCHENKO

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu prenuptial agreement au mkataba wa ndoa kabla ya kuoana?

    Nafikiri haitambuliki kwa hapa Tanganyika ila imeeleza kwamba ikiwa wenza wanaweza kukubaliana kwa matakwa yao bila kulazimishana wakaamua kuufanya upendo kuwa ndio kipaumbele chao na sio mali zao, basi wanaweza kutafuta mwanasheria wakaandaa hii document kwa pamoja na kuorodhesha mali zao...
  12. SHEVCHENKO

    JamiiForums Tanzania Kutokujua Kiingereza kunatukwamisha Watanzania kuingia Soko la ajira duniani

    Sanaa ni umbwa kabisa.
  13. SHEVCHENKO

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu prenuptial agreement au mkataba wa ndoa kabla ya kuoana?

    Wakuu kwenye pita pita zangu nimekutana na hii kitu inayoitwa prenup, ila nimeona nikama ina sound good. Hivi kwa sheria za bongo hii kitu vipi ninaweza kuifanya au sheria hairuhusu?? Wanasheria wa jf mje mtuambie.. Nilivyoielewa kwa ufupi... Prenup ni kifupi cha neno la Kiingereza...
Back
Top Bottom