Recent content by shetrish

  1. shetrish

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Pole sana, naelewa maumivu ya kujua yajayo huwa ni makali zaidi, Mungu akutie nguvu na kukupatia ujasiri, kikubwa ni kuwa zaidi karibu na Mungu yeye ndo mfariji wa kweli, Mapenzi yake kuna nyakati yanatuumiza sana na kuna nyakati yanatufurahisha kikubwa ni kuzidi kumtegemea katika hali zote...
  2. shetrish

    Upo wapi muda huu na unaburudika na nini?

    Nimetulia zangu home nashushia wine taratibuu... huku naangalia tv shows mbalimbali [emoji1635][emoji1635] , ila tuache utani maisha mafupi sana tusiache kujipenda na kukumbuka kuishi...
  3. shetrish

    Nahitaji gari ya mkataba kutumia kwenye uber/bolt kwa makubaliano nitayokubaliana na mwenye gari

    Habari wanajf, msaada tutani mwenye kufahamu napoweza kupata mtu anayetoa gari kwa mkataba au kama muhusika yupo humu naomba anisaidie, experience ipo ya zaidi ya miaka miwili tutakubaliana mahesabu kulingana na projection zake. Asante
  4. shetrish

    Naombeni msaada wa mtu yeyote mwenye verified account ya Airbnb

    Habar wana jf, naomba kama kuna mtu ana account ya airbnb iliyo active na anaitumia anifahamishe, nahitaji kufahamu mambo kadhaa Shukrani
  5. shetrish

    Siku hizi Wadada wanaenda kupiga picha na mabegi Airport

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  6. shetrish

    Dhana potofu ya kwamba kila mtu kaandikiwa kifo chake

    Nadhani licha ya wao kuona wanateseka still kuna sababu na kusudi kuu la wao kuwepo duniani, pengine hata kuteseka kwao ni funzo kwa wengine ,
  7. shetrish

    Dhana potofu ya kwamba kila mtu kaandikiwa kifo chake

    Unakuta mtu ni mlevi wa pombe kali wa kupindukia, ini linafeli , anakufa, napo utaskia ilikuwa mpango wa Mungu wakati alikuwa na nafasi ya kucontrol pengine asingekufa mapema kwa tatizo hilo kama angekunywa kiasi au kujali afya zaidi. (Ni mfano tu jamani msinipopoe wazee wa bia tamu...
  8. shetrish

    Happy birthday to me Vincii

    Happy birthday to my smart beib [emoji3590]
  9. shetrish

    Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

    I just feel kama love is not my fate maana najikuta huwa napenda sana and give my all ila sipatagi love in return [emoji20]
Back
Top Bottom