Wamasai sio wajinga yaani wenzao wachomewe nyumba zao na mifugo yao itekwe ngorongoro halafu wawape ccm kura watakuwa wamelogwa ! Ccm wasahau jimbo wamasai ni waelewa sana !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisee wanawapa shavu sana wapinzani hakuna mtanzania mjinga siku hizi wanaona na wanajua nani kawekwa ndani kwa kutetea nini ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani akiwa kweye kipindi na mwenzake akiongea anampandia hewani hadi mwenzake ananyamaza maana anaongea hana nukta wala koma ni kububujika maneno tu !
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ni miongoni mwa msikilizaji mkubwa wa redio hii ila kinachonikera sana ni jinsi huyu mtangazaji wenu Masai ! Kila akiendesha kipindi na mtangazaji yeyote yule utamsikia yeye tu anazungumza hampi nafasi mwenzie aongee ! Mwenzie akiongea anampandia juu mazungumzo yake yaani hampi nafasi mwenzie...
Halafu wewe sidhani kama ni daktari au muuguzi labda una hirizi za damu ya uganga na ushirikina maana una majungu makali sana yaani ukisoma maandiko yako walahi ukipewa sumu unaweza muua mwenzio ! Watu mliosoma kwa kuunga unga ndo mnakuwaga hivyo kwani kaharibu nini mwenzio ? Kumbe wote...
Acha umbeya wako kama mwenzako kapona we umekamatwa tumia plan B ! Na sio kuchongeana ! Sasa wote mkose kazi nani atamsaidia mwenzake ? Wewe kwa akili yako ya kibashite unafikiri hata sisi wengine wenye upeo mpana tunafurahia kufukuzwa kazi au kupata matatizo wengine ? Buni mbinu mbadala wewe...
Nina kaka yangu anatafuta mahali ambapo anaweza kufungua zahanati binafsi huko Dar -es salaam ambapo pana uhitajiwa wa huduma hiyo ? Anataka kujua ili atoe huduma hiyo nisaidieni wadau
Sent using Jamii Forums mobile app
Lipumba anakiua Chama alikiacha chama katika kipindi kigumu sana !Maalimu seif kapambana kukijenga chama kapata wabunge wengi eti leo lipumba karudi anawafukuza wabunge.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.