Kwa iyo hydroponic nutrients requirements za msingi ni mbegu either iwe ya mahindi, shairi na mbegu nyingine za nafaka ila kiutafiti imeonekana mbegu ya shairi ndio yenye nutrients zaid kuliko nyingine nichek nitakusaidia maana JF sipatikani mda mwingi 0715747242
Mkuu naitaji kuanza kufuga kuku wa malawi naitaji msaada wako kwa maelekezo ya kina maana kwa umri wa miezi minne kuku wamesonga
Ila kuna chakula flani nilifatilia ni kizuri cha kutengeneza mwenyew kinaitwa HYDROPONIC FODDER.. kina save sana gharama ya hakula na kinalika sana kwa kuku wa aina zote
Kuna mbegu za nyanya nimepata kuziskia zikitajwa kwenye kipindi cha television. Mbegu hizi ni Tengeru
Mshumaa
Je kuna utofauti gani kati ya mbegu izo mbili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.