ahaaaa ndio mimi siombagi visent vidogo kama vi 50000 lakini najiuliza hata wewe 52yrs nauli inakua shida? nauli ya bus ama ndege? maana mimi kama ni mbali sipandagi basi sipendi kujitesa. unamaanisha nauliipi unombwa?
note ikitokea nikaomba naomba kapesa karefu sana so usinione malaika...
Tho hakuna sehemu nimetaj ninataka mwenye pesa ila naomba nikujibu, kwa ustaarabu kabisa, hivi unadhani miaka hi yote sikuwahi kumtengeneza mu ambae hakuwa na maisha? kwa taarifa yako nilikuwa kwenye mahusiano huyo mtu nilimkuta akiwa na maisha kawaida tumefanya mengi akawa ninavyotaka mimi...
uko sahihi wengi wameshaoa. mimi sina shida na hilo nilitaka atakaepatikana mfano awe na taraka, au awe na mtoto analea ila haishi na mke ndani.au kabisa hajawahi kuoa wapo tho niwachache. na wengi najua ni viwanja vyenye mgogoro.
nilikuwa najaribu coz najua ni ngumu.
hata sisi wanawake wenye...
ahaaaaa wewe mtoto wacha kunichekesha dah, mdogo wangu ana 27 na wewe sasa ntakuweka wapi? hapana mdogo wangu mimi silei wanaume nataka mzee mwenzangu ambae halii lii njaa huduma zote Napata.nadekezwa.
nb. hata kama una uwezo kwangu yeyote ninaemzid umri ni mtoto.sawa dogo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.