Jf ya sasa wachangiaji wengi vichwa havijiongezi. Yaani mleta uzi kawapeleka chaka wamejaa, angalia koment zao hawajamwelewa. Ingekuwa ile jf ya miaka ya 2014 kurudi nyuma koment nyingi zingekuwa ni kukazia hoja ama emoji za vicheko. Ndio hivyo tena kila zama na....
Ally Kamwe sio wa kumchukulia siriaz kauli zake, Ally Kamwe ana matatizo ya kiakili na afya pia wala si utani Kamwe mgonjwa. Mtu mzima ana kilo 42 bado mnaamini yuko sawa? kuisemea Yanga haimanishi Kamwe ni timamu ni kwa kuwa tu yanga nao ni mbumbumbu. Ni suala la muda tu Kamwe atatoa boko...
Nnje ya malumbano yenu, Kendrick hajawahi nishawishi kama mwama hip hop. labda nimeathiriwa sana na wakongwe kama akina Big,Pac, Nas, Dmx,Trach, Mobb Deep, Ice cube, snoope Dr dre nk.
Hata mi niliona kituko yaani Benja ni wakumpiga mkwara na warrant kweli? Duniani maajabu hayakauki, baadala ya kumpetipeti wanatumia mabavu? haya sasa ndio kwanza kachachuka kama mbilimbi za wazaramo, imesaidia nini?
Ni kweli mshindi alikuwa binti fulani kutoka Zambia nadhani alitwa Charisey kama nimepatia jina. Na Mwisho alishika nafasi ya pili, ila aliporudi kaburu alikula bata sana, mpaka bia aina ya safari ilipewa jina lake. Mtu anakuja kaunta anakuambia nipe Mwampamba baridi, miaka iyo nilikuwa kaunta...
Kama mtu unaweza kuwa na pesa nyingi ya kwenda kutumbua ktk meli ya kitalii unashindwa vipi kuwa na vibali vya kazi, ukaazi? Ama hizo pesa ni haramu mnauza figo za watu? Na kwanini ukimbie nchi ukalale baharini kama pweza kama si mualifu? Rudini nyumba mwekeze katika kilimo, miti, nyumba mifugo...
Nadhani mtu sahihi angekuwa huyo mwalimu wako aliyekuambia ununue hilo gitaa, au nae hajui aina ya gitaa zuri? Ama umetaka kupata michango zaidi ya wadau wa jukwaani? kila kheri mkuu ukafanikiwe ndoto zako.
Hongera kwa kuingia chimbo na kutuletea taarifa nyeti. Kwa yanga mambo ya kishirikina ni kama samaki na maji. Tumeshuhudia wakiruka mageti na kuiba taulo za magolikipa wa timu mpinzani wakiwemo Kibwana na Nzize, kwahiyo taarifa yako inaweza kuwa sahihi kwa 99% ila ukisema hujawahi kosea ktk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.