Recent content by shemweta

  1. shemweta

    Rais Magufuli akibadilisha Mawaziri, hawa lazima waende na maji

    Nzedi mosie, tukae! January Makamba yuko humu. Muulize akujibu mwenyewe
  2. shemweta

    Rais Magufuli akibadilisha Mawaziri, hawa lazima waende na maji

    Msitu wa Mbaramo_Mtae_Mlalo utapandishwa hazi kuwa National Park
  3. shemweta

    Naibu Spika amlinda Waziri Mkuu dhidi ya swali la Mbowe kuhusu rushwa kwa wabunge wa CCM

    Una maoni gani juu ya swali hili? (Nadhani umeliskia kwenye media)
  4. shemweta

    Wapi nitapata leseni ya kufundishia (Teaching license)?

    Upepo: Umri wangu kama ilivyoanishwa hapa juu ni miaka 23. Ndoto yangu ni kusoma professional nyingi kadri nitakavyopata fursa ya kufanya hivyo na baadae ku specialize ktk moja
  5. shemweta

    Wapi nitapata leseni ya kufundishia (Teaching license)?

    0788091776_ Nicheki tadhali kamanda unielekeze in detail
  6. shemweta

    Wapi nitapata leseni ya kufundishia (Teaching license)?

    Fiati nicheki tafadhali unipe maelekezo in details +255 788091776
  7. shemweta

    Wapi nitapata leseni ya kufundishia (Teaching license)?

    @Kiduku_ Nafundisha Physics & Chemistry.
  8. shemweta

    Wapi nitapata leseni ya kufundishia (Teaching license)?

    Habari zenu ndugu, Mimi ni kijana wa miaka 23, elimu yangu ni degree of Bachelor of science in Ecotourism and Nature Conservation (BSc. ENC). Tafadhali nielewesheni, nitapataje teaching license (kama non teaching professional) kwani sasahivi nafanya kazi ya ualimu katika private school na pia...
  9. shemweta

    Wafanyakazi wa Serekali wanakaangwa kwenye chungu kisicho na mafuta!

    Endeleeni kulalamika ila jua Mtaani kuna graduates wengi jobless wanasubiri uhakiki wa watumishi hewa uishe
  10. shemweta

    Ni kuhusu nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi wa serikali

    Endelea kulalamika! Wewe uko kwenye payroll, kuna graduates wenye elimu zaidi yako na wako mtaani mwaka wa nne sasa
  11. shemweta

    Ni kuhusu nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi wa serikali

    Kama si mwalimu wewe basi ni mkurugenzi wa tiba asili
  12. shemweta

    Ajira za walimu

    Bungeni Leo 13/09/2016, naibu waziri TAMISEMI amesema serikali inampango wa kuwapa mafunzo ya muda mfupi watu wenye degree za science (ambao ni non teaching professionals) ili waajiliwe Shule za umma kuziba pengo la uhaba walimu wa science
  13. shemweta

    Orodha ya mashirika ambayo graduates wengi wa tanzania hutamani kuajiriwa.

    FINCA Microfinance Bank, Erolink, Vodacom, WWF, World Vision, TAFORI, Montfort, TUJIJENGE, SEKOMU, TFCG etc
Back
Top Bottom