Ajira za walimu

Ajira za walimu

shemweta

Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
18
Reaction score
3
Bungeni Leo 13/09/2016, naibu waziri TAMISEMI amesema serikali inampango wa kuwapa mafunzo ya muda mfupi watu wenye degree za science (ambao ni non teaching professionals) ili waajiliwe Shule za umma kuziba pengo la uhaba walimu wa science
 

Attachments

  • 1473782743275.jpg
    1473782743275.jpg
    63.8 KB · Views: 49
Bungeni Leo 13/09/2016, naibu waziri TAMISEMI amesema serikali inampango wa kuwapa mafunzo ya muda mfupi watu wenye degree za science (ambao ni non teaching professionals) ili waajiliwe Shule za umma kuziba pengo la uhaba walimu wa science
Mmm! Matokeo yataonekana tu, elimu si jambo LA masihara Aisee. Kwani Kila mtu na professional yake. Si sahihi hata Kidogo ilikuwa nijambo LA kusubiri ili kupata walimu WA sayansi na sio hao wa crash program.
 
asee ayo masialaa bana walim wapo wanasubir ajira na ndo professional yao , na ajira zao naona ndo zinazd kuota mbawa poleni walim...
 
Back
Top Bottom