Recent content by shekulumkende

  1. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA hamkujipanga kwa ajili ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba

    Hotuba yake kichefuchefu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Ushindi ni wetu wana CCM hata kwa goli la mkono sisi hakuna nyomi wala nini Mungu ibariki CCM Mungu mbariki rais wetu Magufuli
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Acheni ujinga nyie mie nipo uwanjani pamepooza sana bora sisi tulikuwa na wasanii wengi wenye mvuto na palipendeza sana leo bored bora nijiondokee zangu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Ccm hamtuwezi sisi hamtatufikia mafuriko naona bado peupe
  5. S

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Acha kuchanganya habari za soka sisi tunafuatilia sera za chama chetu
  6. S

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Jembe hilo mtoto wa Nyerere Makongoro
  7. S

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Hii nyomi imevunja rekodi leo Magufuli tayari Rais jamani
  8. S

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Tayari Magufuli Rais kwa mtazamo wangu nani anabisha asipokuwa rais mnifukuze nchi hii ya Tanzania
  9. S

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Tumeshashinda tayari kwa nyomi hii
  10. S

    JamiiForums Tanzania Vurugu Ilula: Mwananchi afariki, Kituo cha Polisi chachomwa moto

    Wapigwe tu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Salome Mwambu achafua hali ya hewa mbele ya katibu mkuu wa CCM

    Katika hali ya kushangaza kwenye ziara ya katibu mkuu wa CCM leo hapa Nkungi wilaya mpya Mkalama, mbunge wa jimbo hili Salome Mwambu achafua hali ya hewa baada ya kuzomewa na wananchi na akaanza kusingizia amefanyiziwa na mwenyekiti wa CCM mkoa Mgana Msindai. Kadri alivyoendelea kuwaelezea...
  12. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Kiteto Ajira mpya ya 2014 ni mwalimu wa sekondari njoo Kiteko ili mimi niende wilaya ya Mkalama Singida
Back
Top Bottom