Recent content by Sheko

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    dah! Kuna jamaa wakuitwa NUNDA pale boma ilala jamaa alinisaidia sana kwangu biolology kwangu ilikuwa kama kutereza kwenye mchuzi wa mrenda
  2. S

    JamiiForums Tanzania Lab coat zinapatikana wapi?

    unashona mwenyewe.kanunue kitambaa cheupe mpe fundi akushonee
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa Kuhusu City College of Health and Allied Sciences

    kitambulike na tcu kwani kinatoa shahada? Vyuo bora vya afya kwa ngazi ya diploma na certificate ni Kibaha,mtwara,sengerema,lugalo,mvumi,machame Hivyo ndivyo vyuo vikubwa na bora na vikongwe lakini hivi vingine vilivyoanzishwa sasa hivi vingi ni vya uchochoroni !
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa Kuhusu City College of Health and Allied Sciences

    Hicho chuo kipo temeke sehemu moja inatwa bandari hiki chuo zamani ilikuwa pride sasa ni chuo ila kwa mazingira ya kusomea sijui
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu mshahara wa mwalimu diploma holder anayeanza

    Hahaha! Sawa mkuu umetisha
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jifunze English tenses kwa Kiswahili

    Najaribu.father! do I is your fist born Msinicheke jamani nimejalibu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Jifunze English tenses kwa Kiswahili

    Mkuu hapo kwenye normally akiweka usually haina makosa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Clinical Officers wanalipwa kiasi gani?

    Mh! ya kweli hayo mkuu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wadogo zangu form v 2014/15

    Mkuu lugalo hapo unasoma au unapiga kazi?
  10. S

    JamiiForums Tanzania advance diploma in clinical medicine

    hapo ifakara wanatoa diploma ya clinical medicine
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kujiuzulu kwa Prof. Nyamhumwa wa DIT kama alivyoahidi

    Na katika kiswahili kuna neno "kbs" na "ktk"
  12. S

    JamiiForums Tanzania Fani gani itamfaa huyu mdogo wangu,,ana ulemavu wa jicho moja!

    mpe pole mkuu maana ana dream mzuri
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini kada nyingine unadharau walimu je ni sababu ya mshahara mdogo au ni nini...??

    mi naona kuwa msahara mdogo we angalia mwalimu mwenye shahada analipwa na anapitwa na daktari au injinia mwenye diploma!
Back
Top Bottom