Umesema ukweli kiongozi,binafsi ukitaka ugomvi na mimi niambie kuhusu huu upumbavu,hili ni janga na hawa watu nawafaham sana ni zaidi ya pyramid wanachokifanya.Wengi waliojiunga ni wachovu na wana maumivu mengi.
hongera kwa kuandika ukweli ambao akili ndogo haitaki kushughulikia.
Jiulize nchi zote za afrika zimeshindwa ku finance ujenzi huu wa jengo lao hadi wachina waje ku finance then waweke label ya nyerere kutuhadaa?
Wewe Faiza unazungumzia makao makuu ya Vatican?mbona nyie mkienda akhera wanaume wanapewa mabikra 72 na wanaume wawili.
Swali:kama allah anakupa mabikra 72 na wanaume 2 huko akhera,je hapa duniani mmegawiwa wanaume wangapi?uislam siyo wa kunyosha kidole kwa hili hata mara moja kwani wao ndio...
Kwani nyie mna baba?nyie si ndio Ismail descendants?mtume alipata malezi ya baba na mama?Je unajua athari za mtu kutokua na baba?Je ni kitu cha ufahari kutokua na baba?
Mimi sitaki wanitangazie hata mara moja,mimi siwatolei wao namtolea MUNGU wangu,siwezi kumwambia Mungu lete hesabu hapa,hiyo ni kuji laani.
Acha makanisa ya kiroho yasitangaze,ila yakimwili ni vizuri watangaze,tena wasipotangaza mu wawajibishe kutokana na kanuni zenu.
ndugu yangu hakuna tofauti,narudia kusema hakuna tofauti,magaidi ni yai/tunda la uislam ,japo ukweli unauma na unaweza kuudhi lakini ndio kweli hiyo.
Mtu akibisha hili nitathibitisha hili
HIZI HABARI BADO ZINABAKI KUWA UCHAMBUZI WA KUSADIKIKA NA PROPAGANDA YA IRAN NA WAISLAM DHIDI YA MAREKANI MLENGWA MKUU AKIWA NI ISRAEL.
Watu wa kwanza kueneza sumu hii ni raisi wa Iran na Waziri mkuu wa Uturuki(Erdogan)wate wakiwa ni wafadhili wa ugaidi japokua wanaonyesha wawili hawa...
Hawa watu wanasumbua sana,niliwahi kukutana na sister do mmoja ni graduate wa ifm,akaniambia mimi ni mfanyabiashara mkubwa,nikimwangalia kwa makini naona ana dhiki na shida nyingi,akapropose biashara yake hii,nikamkatalia,baadae akawa ananisumbua kwenye sim kuhusu biashara yake...
Miaka kama nane iliyopita walinishawishi kuenda kwenye semina yao nikiwa Arusha,semina ilikua pale kibo palace hotel,sikushawishika kuingia,wanachuo wenzangu wakaingia ktk huu ushetani.Nawafaham hadi leo hakuna walichokipata na wengi wamepita ktk wakati mgumu na kuishiwa kusiko kawaida.
Mjomba...
Ndugu yangu kimbia hili bomu hasara yake utaiona in long run.nimeona watu walioingia ni zaidi ya miaka 10 wanapita ktk dhiki na shida licha ukiona wanavyovaa utadhani wanakitu.Ogopa hii DECI
Ndugu zangu hii biashara ni majanga,ninaifaham kwa undani tangu inaanza,mtu akitaka ugomvi na mimi aniambie kufanya huu ushetani,wengi wa walio fanya biashara hii lazima wapitie maisha ya dhiki na kuishiwa kusiko kawaida,hii ni zaidi ya DECI.Mwenye sikio la kusikia na asikie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.