Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
No way near mkuu...hiyo kitu haipo hata kidogo mkuu...au leta fact kwann umepata hizo fikra ili tupanuane mawazo mkuu....leta fikra mkuu!
Kuanzia na ishu ya WTC hadi vita dhidi ya ugaidi na Obama kuyapa fedha makundi ya Kiislam na hayo yamesababisha Uislam kupanuka sana
Hakuna kinachofanywa na serikali ya Marekani kuzuia ISIS na hata pale kwenye kumbukumbu za WTC pamejengwa kama Al Kaaba,unadhani yote haya yametokea bahati mbaya?