Recent content by Sheikhe

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ukiona mwenzio ananyolewa zako tia maji

    Ni mtazamo wangu tuu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ukiona mwenzio ananyolewa zako tia maji

    Tanzania yetu ni nchi inayosifika kwa aman, tunashukuru mungu kwa hilo. Ila naaamin kile kinachovuruga sana aman ktk nchi za majiran zetu sisi hakijatufika na siku ya kutufika sijui km tunaweza kupenya salama ktk mtihan huo. Na huo mtihan nnaouongelea hapa ni pale serikali ya chama tawala...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uchaguzi wa Marudio visiwani Zanzibar - Machi 20, 2016

    UncleBen taratbu mzee, mjbu kwa hoja tyuu atakuelewa huyo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uchaguzi wa Marudio visiwani Zanzibar - Machi 20, 2016

    rodrigiz, siyo ushabiki ndg yng ila hofu yng najua mwisho wa siku tutapewa takwim ambayo haitoi pcha halisi, maaana tutaambiwa 89% ya waliojiandksha wamejitokeza kupga ktk uchaguz wa leo
  5. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uchaguzi wa Marudio visiwani Zanzibar - Machi 20, 2016

    Kweli ccm wanaroho ngum maaana ni mambo ya aibu haya
  6. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uchaguzi wa Marudio visiwani Zanzibar - Machi 20, 2016

    Yaaaan bila ya aibu ccm wameamua kuchezea akili zetu, ivi yule msimaniz wa kituo kimoja wapo cha wete hao watu 216 wametokea wap? Wakat hata watu hakuna kabsa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Taratiiiibu tunaanza kumkumbuka Lowassa

    Mmmh mtoa mada na wakosoaji wengne mnanipa wasi wasi juu ya uwezo wenu na uwelewa wa mambo au labda kama mnasukumwa na mihemko ya siasa za kichama, ivi kweli unafikilia solution ya kukosa kaz ni kujiuza??? What if ingekua yeye mwenyewe rais magu angetamka km hauna ajira nenda kajiuze c...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ni Aibu kubwa kushindana wakati mshapewa ushindi wa bure

    Kiukweli Tanzania yetu bado ipo nyuma kidemocrasia, huku ni kuipga dana dana democrasia, ivi unafuta matokeo ya uchaguz uliogharim mamilion ya mapesa kisa mgombea mmoja amejitangaza kabla ya tume? Je ikitokea mgombea mwengne wa chama kinachoshilik uchaguz wa marudio akajitangaza iwe ameshnda...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda Atangaza Zawadi ya Milioni 1 Kwa Askari Polisi

    Hyo ni motisha labda km hauwelew maaana ya motisha, omba tukueleweshe
  10. S

    JamiiForums Tanzania Taratiiiibu tunaanza kumkumbuka Lowassa

    Lazima tukubali watanzania wenzangu kua tunapitia kipindi kigumu ktk hali ya kuibadilisha Tanzania tuliyokua nayo kwenda kwenye Tanzania yenye maendeleo ya kiuchumi wa kati, uwajibikaji na uchapaji kazi, watanzania wenzangu tusiwe tuu watu wakulaumu ktk kila hatua na tukawa tunaaangalia negative...
Back
Top Bottom