Ukiona mwenzio ananyolewa zako tia maji

Sheikhe

Member
Mar 17, 2016
10
9
Tanzania yetu ni nchi inayosifika kwa aman, tunashukuru mungu kwa hilo.
Ila naaamin kile kinachovuruga sana aman ktk nchi za majiran zetu sisi hakijatufika na siku ya kutufika sijui km tunaweza kupenya salama ktk mtihan huo.
Na huo mtihan nnaouongelea hapa ni pale serikali ya chama tawala kukubali kuwaachia kiti cha urais chama pinzan kilichoshinda kihalali. Nnachokiona apa ili tuendelee kua na hiii aman tunayosifika nayo basi tunalazimika kuendelea kuchagua ccm tuu na hiyo siyo democrasy tunayoihubiri.

Ukitaka kuamin hilo tupia jicho ktk chaguz za ZNZ tangu mwaka 95.
Hiii inaonesha dhahili shahili ccm haiko tayar kuwaachia wapinzan nchi.

Hayo yanatokea kwa wenzentu ZNZ, sasa ukiona mwenzio ananyolewa zako tia maji.
 
Back
Top Bottom