Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,893
Hivi inakuaje pale Chama tawala,kilichotawala kwa miaka zaidi ya 50 kinapopewa go ahead na chama kuu pinzani (kilichoshinda kihalali) kujichukulia ushindi ila bado hakijiamini kabisa?
Mnapeleka:-
-Jeshi la Wananchi (JWTZ)
-FFU
-Jeshi la maji (Marine Army)
-Polisi wengi wa usalama wa raia na mali zao
-Vifaru viingi na Magari ya polisi meengi.
Wanajeshi na polisi wote hao mliowapeleka wiki mbili kabla ya tukio la baadaye mliwalisha,mliwanywesha n.k
Hivii:-
-Kuna Vita au Tumevamiwa?
-Hiyo hela yoote ya kuwaaccomodate hao watu si ni KODI ZETU?
Tumieni Akili na Mtuhurumieni wananchi wa Tanzania.
Si mmepewa ushindi? Mnaweweseka nini?