Recent content by sheikh yasin

  1. S

    Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

    Bwana mdogo kuwa na adabu bana, huyo unaemuita jimama ni mke wangu ati
  2. S

    Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

    Bahati mbaya sana Hoja kuu sio uzee wa mke wangu, maana nilopomuoa nilimaliza Hoja hiyo, Kupewa mapigo ni tija, hilo la kukosa mapigo linafanya maelfu ya wanandoa kwenda nje ya ndoa, kwa hiyo kama mwanamke wa 30s analala kama gogo kitandani huyo ndio mzee, anapitwa na huyu wa 55 sasa kati...
  3. S

    Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

    Uzee huo mnausema nyinyi hapo, mm kwangu ni kijana kabisa, nampenda mke wangu, napata mapigo mazuri sijawahi Pata tangu nimeanza kuhangaika na hao masista duu zaidi ya kupata maumivu, napewa vitu vizito mno Mbona ya mengi na kyln mnadai ni mapenzi ila yangu mm ndio mnasema mzee, acheni hizo
  4. S

    Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

    Hoja yako haina mashiko, Bahati nzuri nimefafanua wakati najibu Hoja za wachangiaji mbali mbali ikiwemo comment iliyopita kabla hii ya kwako, labda kama majibu hayajakuridhisha, ila nina Hoja za msingi sana Narudia tena, nisingeoa huyu mwanamke mzee yeye angepata nguvu za kuja kuomba hiyo 15...
  5. S

    Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

    Maisha ni kusaidiana mkuu, kama mwanaume tajiri mwenye pesa anavyoweza kumchukua binti maskini na kumbadilisha na kumpa maisha mazuri, kuitoa familia nzima ya binti kwenye dimbwi la ufukara na kuipa maisha mazuri, hivyo na mwanamke tajiri anaweza kumpenda mwanaume maskini na kumpa maisha...
  6. S

    Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

    Angekua anapiga hadi push-ups asingemfumania mkewe kitandani na mwanaume mwingine na bado akamsamehe, ni wazi yy ndio mchovu that's why akamsamehe mke mzinzi More over, Huyu mke wangu aliikubali kazi yangu ya kitandani ndio maana akaomba nimsitiri tufunge ndoa kabisa So usiongee...
  7. S

    Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

    Ulitaka niwatangazie watu kwamba nimefuata pesa? Ulitaka niwatangazie ndugu kuwa jamani nimeoa huyu mama kufuata pesa? Off course alinipenda mwenyewe na kuomba nimsitiri yaani nimwoe, Ingawa kiukweli ni mzuri, huo umri mnauona ni umri mkubwa lakini ukimwona ni kama yupo some where 35 hivi...
  8. S

    Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

    Yeye ndie alietukana mamba kabla hajavuka mtoto, hivyo huo msemo wa kioo unamfaa yy zaidi Maisha hayana formula, hapa mjini kila mtu akikwambia jinsi alivyo Pata pesa au jinsi alivyofanikiwa kimaisha unaweza kuzirai, wapo majambazi, madawa ya kulevya, wengine walidhalilika ili kufanikiwa...
  9. S

    Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

    Ingekua vice versa bado ungeshangaa?
  10. S

    Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

    Sijui kama nimeeleweka vizuri, naomba niweke hivi Mm sikwenda kumuomba ushauri wakati nataka kuoa, sababu kuoa ni uamuzi wangu binafsi, hata yeye hakuja kuniomba ushauri wakati anaoa Hivyo alichokifanya yeye ni majungu, alitembea kila kaya katika ukoo akipika majungu na kunisema vibaya...
  11. S

    Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

    Sasa kama ni hivyo aende amuombe mkewe ambae ni kijana, sasa anakuja vipi kuniomba mm, mm Sina hizo pesa, huyo mke mzee aliemkataa ndio mwenye hizo million kumi na tano Sasa logic ipo wapi hapo? Sasa utasaidiwaje na mtu uliedai mzee? Acha wamvunjie nyumba tu
  12. S

    Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

    Ila ingekua vice versa? Mwanaume 55 mwanamke 34 mngekubali? Binti wa miaka 20 hata aolewe na babu wa miaka 70 isingekua shida right?
  13. S

    Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

    Sasa akamuombe mkewe kijana anakuja kuombaje mzee?
  14. S

    Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

    Parefu maana yake nn? Mbona uchi wake ni mzuri kushinda nyuchi zote nilizowahi kukutana nazo, unaungwa vizuri na viungo na marashi, unawekwa kwenye chetezo, unabana, nafanyiwa yote ambayo sikufanyiwa wakati nahangaika na hao masista duu mnaowataka nyinyi Tangu tumeoana sijawahi kuoga...
Back
Top Bottom