Atanunua mafuta tu Na atatoa pesa mfuko mwingine kuongezea hayo mafuta Hapo sijui atasemaje akikutana na waheshimiwa wa barabarani Maana na wao kila daladala wana hesabu zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani mbona mnapotosha mada??? Mwenye uhakika na jibu atupatie itakua Bora akituambia Mtoto wa mzee anaitwa fulani kaolewa na fulani ambae Kwa msigwa ni ndugu yake kihivi!!!! Hapo tutaelewa vizur
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!!!! Nilicheka sana pale pale aliposema mzee Kangi mwaka huu atashughulika na wenye ndevu zanzibar
Nikafurah sana kabla hajashughulika nao yeye kisha shughulikiwa Ndio nikaamini kuwa cheo ni dhamana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mgiriki umeshawahi kwenda kutafuta jambo lako Ofisi za serikali wewe???? Kama unataka kuzid kuonekana bwege au mtu asiejua kujiongeza nenda Kwa mkubwa wao Utashangaa kila ukifika hayupo, yupo bize, ana wageni leo, Utamaliza mwezi hujamuona Na siku ukimuona atakuuliza Umeshindwa kujiongeza?? Njoo...
Mimi sijaelewa wa ndugu Hivi kitambulisho cha NIDA Kazi yake ni kusajilia line?? Mbona naona kama tunashusha thamani ya kitambulisho hicho??? Maana kila anaehangaika na kitambulisho hicho anakwambia nataka kusajili line Watanzania wenzangu!!!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa najiuliza sipati jibu Hivi vyama vya siasa vikubwa Chadema NCCR Cuf ACCT wakiamua kukaa Kimya wasiseme lolote wasiingie kwenye uchaguzi wala wasichukue form yyt ya uchaguzi Wakiacha ccm peke yake patatokea nini??? Maana rafu kila uchaguzi wanazilalamikia na njia ya kutibu rafu hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.