Recent content by Shedyngwavi

  1. Shedyngwavi

    NMB "Mshiko Fasta" ilitakiwa ifanye kazi kama Songesha na ''Nipige Tafu" za makampuni ya simu. Mnafeli wapi?

    Jamani nashukuru huku tunapeana ufahamu Wa mambo . Mambo kama haya yangekuwa yanajadiliwa fb public Ili na wahusika wajue kwamba watz wanaelewa wanachofanya niujanja ujanja uleule kama kausha damu kwanini kama wanataka kutusaidia watu wachin baadhi ya mambo hayako wazo? Kunani hapo! Nilidhani...
  2. Shedyngwavi

    SIKI YA TUNDA LA APPLE INATIBU MARADHI MENGI TU. Apple Cider Vinegar Cures

    Tunda la apple linalimwa kienyeji maeneo ya nyanda za juu kusini Wilaya ya Makete hawaweki mbolea Wala madawa labda hayo yanayotoka South Africa
  3. Shedyngwavi

    Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

    Watu wameshapigwa za uso paa huko Kalynda ,[emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24]sahizi wanagugumia moyoni hatari sana
  4. Shedyngwavi

    Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    WANAJUKWAA LA JAMII FORUM NAOMBA NAOMBA MWENYE MUONGOZO WA ANDIKO LA MRADI (PROPOSAL) ILIYOANDIKWA KISWAHILI ANIZAIDIE.No 0767125913 Asante
  5. Shedyngwavi

    Biashara ya Chakula (mama wa biashara zote)

    Uzi nimeupenda asante ndugu niwachache wanaoweza kuonyesha fuls zenye mafanikio wewe niwapekee.Wengi ni wachoyo kuonyesha wenzao fulsa
  6. Shedyngwavi

    Natafuta kazi: Nimesoma Bachelor of Art Education, History & Kiswahili

    Binafsi sishauri sana kupenda kazi za kufanya kwa mtu ni bora utulize ubongo utafute shughuli ya kujiajiri kama utaweze kwenda veta ni vema Fanya utafiti wa ujuzi ambao unasoko mtaani .Fulsa nyingine kwa sasa ni kilimo na ufugaji huko nako kunamaisha
  7. Shedyngwavi

    Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Nikweli hasa unapokuwa nashughuli ambayo kipatochake kidogo hakikidhi mahitaji na umeiona fulsa nyingine unapata kugugumizi kuiacha kazi ya kwanza na kuanza nyingine na wateja hawajakuzoea lazima kipato kinaweza simama kwa muda ambao ni mgeni kwenye mradi huu mpya wakati huo mahitaji ya familia...
  8. Shedyngwavi

    Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Nashukuru sana Mr Chasha na wanajamii wengine mada zinazotolewa humu kiukweli zinanipanua sana kimawazo.
  9. Shedyngwavi

    Msaada kuhusu biashara ya phones, phone accessories na vifaa vya umeme

    Simu na vifaa vyake ni biashara nzuri ukijipanga vizuri hasa kifedha ofisi ikapendeza lazima uuze maana nivitu vinatakiwa mara kwa Mara. Hata spea unauza tu ilimradi eneo ulipo panamafundi cm.Japo ukiwa nawewe ni fundi utakuwa unapiga kotekote japo ufundi ni uwe na Hobie lasivyo utaambulia...
  10. Shedyngwavi

    Mwenye ufahamu kuhusu Huduma Uwakala wa Bank

    Mimi in mjasiliamali ambaye pia ninatoa huduma miamala ya kifedha kupitia simu yaani M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na Holapesa. Ninatamani niweke na huduma za bank lakini mtaji wangu ni mdogo kwahiyo nimefikiri nikope pesa kwaajili ya huduma ya kibenki na mahali nilipo wateja wapo. Swali...
Back
Top Bottom