Recent content by shedyboi

  1. shedyboi

    Windows 8

    shukran mkuu ezless
  2. shedyboi

    Natafuta housing ya compaq presario v4000

    Habari zenu waungwana, natafuta housing ya Compaq Presario V4000,ambaye anayo tuwasiliane kupitia namba hii 0653-060320.nipo Dar..
  3. shedyboi

    hili ndilo jibu la mwanafunzi wa form 4 ktk mtihani wa kiswahili akieleza maana ya mdahalo;;

    swali; eleza hatua za kuandaa mdahalo; jibu~~ mwanafunziakiwa hajui maana ya mdahalo alijibu hivi;; ~~ 1. unachukua mdahalo wako unauosha vizuri. 2.hakikisha mdahalo wako haujakomaa. 3. bandika sufuria yako jikoni. 4. weka mdahalo wako kisha uache uchemke kwa dakika kumi na tano. 5...
  4. shedyboi

    Iringa,Njombe, Songea na Sumbawanga kuna migodi ya viongozi lakini utendaji wao wa kazi sasa!!!

    unoge bela :A S angel::A S angel: pamoja tujenge tanzania yetu nzuri
  5. shedyboi

    Mama Salma Kikwete awasili Mkoani Rukwa kwa Ziara ya Siku Tatu... Pichani akiwa IKULU ndogo

    :A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39: punguzeni masufuria wakuu. baba yetu safari ni nyingi sasa mama akimsaidia kuna ubaya?? ni sawa na ukuwa kwako mmeo au mkeo anapokuwa safarini shurti umsaidie kazi zake bila hivyo mambo mengi si yatalala???? hebu tumpe sapot wakuu. pamoja tuijenge...
  6. shedyboi

    Radio Imani, Kwa Neema FM zafungiwa... Clouds FM yatozwa faini!

    :A S angel::A S angel::A S angel::A S angel: hahaaaaaa!!! namhurumia sana kibonde jaman dah!! maana nae kwa masuala ya watu kujifanya anajua heee.. warekebishwe. pamoja tuijenge tanzania yetu nzuri
  7. shedyboi

    Iringa,Njombe, Songea na Sumbawanga kuna migodi ya viongozi lakini utendaji wao wa kazi sasa!!!

    mpo wapi ulukolo kwitanga, mwakidondo, mnyalilefu. hapa ndo mahali penu wakuuu:yo::yo::yo: pamoja tuijenge tanzania yetu nzuri
  8. shedyboi

    Iringa,Njombe, Songea na Sumbawanga kuna migodi ya viongozi lakini utendaji wao wa kazi sasa!!!

    :A S angel::A S angel::A S angel:umesomeka mkuu changes ni mimi na wewe, together we can. tuijenge tanzania yetu hii nzuri
  9. shedyboi

    Iringa,Njombe, Songea na Sumbawanga kuna migodi ya viongozi lakini utendaji wao wa kazi sasa!!!

    Inasemekana kuwa katika mikoa yote tuliyokuwa nayo Iringa,Njombe,Songea,na sumbawanga ndiko kwenye viongozi wa nyadhifa kubwa Waliopewa uongozi wa juu ndio wanaoongoza kwa kutuangusha wananchi wao. Ukiangalia madam spika Makinda katoka huko, Lukuvi katoka huko, wazir wa fedha Mgimwa katoka...
  10. shedyboi

    Polisi waanza kuwatetea masalia waliofukuzwa CHADEMA

    :A S angel::A S angel::A S angel::A S angel::A S angel: GUD MKUUU NDO MAJIBU ALIYOYAHITAJI NA HIYO NDO DAWA YAKE. PAMOJA TUIJENGE TANZANIA YETU NZURI
  11. shedyboi

    Idd Pazi "Father" Atua CHADEMA

    ANATAKA KUGOMBEA UONGOZI GANI TENA HUKO???? AANGALIE AKIUKOSA UONGOZI, AU NAFASI YA KUGOMBEA AKATANGAZA TENA KWA MBWEMBWE KURUDI CCM... TEH TEH TEH YETU MACHO TUUU:A S angel::A S angel::A S angel::A S angel: PAMOJA TUIJENGE TANZANIA YETU NZURI
  12. shedyboi

    Wabunge 47 wajiunga mafunzo JKT ni kutoka CCM; CHADEMA na NCCR-MAGEUZI

    KUNA TETESI KUWA WALE WALIOJUA MAPEMA NINI HASA RAISI NA KIONGOZI BORA ANATAKIWA KUWA KUNAKO KUELEKEA 2015 NI LAZIMA AJIELEKEZE KTK JESHI. KULE KUNA MAFUNZO MENGI YENYE KUMJENGA NA KUMFUNZA, HASA ZILE SHIDA ZA KULE.. PIA WALIOJIANDIKISHA TUNAWAPONGEZA SANAA;;; LAKINI KWANINI NA WENGINE...
  13. shedyboi

    TUME ya kuchunguza MATOKEO MABOVU ianzie hapa

    :yo::yo::yo:hakika mungekuwa hat kumi tu kama wewe humu ndani mbona tanzania ingebadilika moja kwa moja kutoka analogy kwenda digital automatically.. i salute mkuu.. pamoja tuijenge tanzania yetu nzuri
  14. shedyboi

    Taarifa ya ajali ya Kamanda Mawazo na namba yake ya simu!

    chademaaaaaaaaaaa hapo ndipo pa kuonesha upendo wenu. bavicha mpoooooooooooooooooooooooooooooooo kaonesheni mshikamano wenu basi.:israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel:pamoja tuijenge tanzania yetu nzuri
Back
Top Bottom