Recent content by Sheby Walker

  1. Sheby Walker

    JamiiForums Tanzania Uzi wa Kumbukumbu: Wazee wa miaka ya 70, 80, na 90 tukutane hapa kushusha picha za vitu vyetu vya zamani na ku share story ya vitu hivi

    Dah umenikumbusha mbali hizi pencil ✏️ 😃,kakiisha unatoa una adjust kingine bila kusahau ile Pen 🖊 yenye bomba za wino wa rangi tofauti.
  2. Sheby Walker

    JamiiForums Tanzania Kwa watoto wale wote wa miaka ya 70 mwishoni na 80, munakumbuka mchezo wa "KISIKIO POO!"?

    😂😂😂 huyo nae alikua na pride 😤
  3. Sheby Walker

    JamiiForums Tanzania Kwa watoto wale wote wa miaka ya 70 mwishoni na 80, munakumbuka mchezo wa "KISIKIO POO!"?

    😂😂😂 haswa wa 2020 watoto wamepewa tablet,just imagine mtoto anafatwa na schoolbus hadi getin na bado lina muacha sometimes 😂
  4. Sheby Walker

    JamiiForums Tanzania Kwa watoto wale wote wa miaka ya 70 mwishoni na 80, munakumbuka mchezo wa "KISIKIO POO!"?

    😂😂 yaani michezo ya watoto enzi zile ilifanya watoto bright mindset michezo kama Mdako,chandimu,Komborela,kidali,Kula mbakishie baba,tobo bao,kipito, bila kusahau kuendesha magari ya chupa nilikuaga engineer mzuri wa magari ya chupa😂💡from early 2000's to 2015 miss those better days
  5. Sheby Walker

    JamiiForums Tanzania Kwa watoto wale wote wa miaka ya 70 mwishoni na 80, munakumbuka mchezo wa "KISIKIO POO!"?

    Umenikumbusha mbali sana,kulikuwaga na mchezo mwingine uliitw Kiss,commander,promise dah old golden days
  6. Sheby Walker

    JamiiForums Tanzania Michezo ya utotoni!!!

    Dah huu uzi ni wa 2011 nikiwa na miaka 10 jaman eh mpo bado humu
  7. Sheby Walker

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hufikiri Kila mwanaume aliwahi kutoa bikra wakati waliokutana na bikra ni wanaume 2 kati ya 10

    Mimi huwa nawazaga yaan wanadamu kwenye swala la uhusiano wa kimapenzi tungekuwa kama baadhi ya Ndege kama Eagle 🦅au sparrow Wengi tungeoa bikra,maan ndege wa jamii nyingi mfano ndege hondohondo huwa na jike moja tu la maishsha na sio kama sisi baadhi ya wanadamu kudonoa donoa kila mahala.
  8. Sheby Walker

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya kijeshi vya Uturuki vyaangamizwa huko Syria!!

    Heal the world 🌎 vita na uchochezi huvuruga amani
  9. Sheby Walker

    JamiiForums Tanzania Kama ume imiss Dar ya Miaka ya Tisini hakikisha kila sikukuu ya kiislamu unatembelea Chanika au Back City

    Sana tofaut na sasa ila tuishi bila kumsahau mungu maan miaka hii mambo ni mengi san
  10. Sheby Walker

    JamiiForums Tanzania Kama ume imiss Dar ya Miaka ya Tisini hakikisha kila sikukuu ya kiislamu unatembelea Chanika au Back City

    Na kuna kipindi watu wataimiss miaka hii ya 2020's kikubwa tuishi huku tukitumia vyema muda na pumzi aliotupa mungu bila kusahau kutenda amali njema,kwani muda haitusubiri
Back
Top Bottom