Sasa bila kutiana utajuaje utamu wa huyo unayetaka kuishi nae? wengine ni wazuri wakiwa wamevaa ila wakivua ni majanga yaani full mabaka,harufu mbaya,n.k
maisha menyewe magumu yaani ni full stress kila kukicha halafu leo nikatatafute presha tena kwa maDNA? Bora niendelea kudanganywa na kuibiwa tuuuuu %#http://
Ngoja nianze kufanya mazoezi ya kupita kwenye moto na kuchungulia matundu ya vyoo ili nijikomaze na kuwazoea funza ili siku ya mwisho inikute niko freshi kwani kuacha uzinzi siwezi %#http://
Mapenzi mabaya,so,jiepushe nayo>
*bora kupendwa kuliko kupenda*
*bora kutunzwa kuliko kutunza*
*bora kufa kuliko kufiwa*
*bora kumega mke wa mtu mwingine kuliko kumegewa mke wako*
Shebeneza is back in action,nilitupwa lupango kwa mwezi mzima kwa kuleta hate posts against women mwezi jana,leo ndo nimeachiwa huru na leo hii hii mapost ya macharii kulalamika ni mengi balaa,so,mzimu wa shebeneza ni balaa!
ukioa wewe ndo Baba na wewe ndo mwanzo na mwisho wa yote,yawe mabaya au mazuri,kupeleka mambo yenu kwa wazazi wenu ni utoto na upumbavu,
Ref.mushi vs ufoo %#http://
Wengine bila kilevi hata kuduu ni karaha,mimi wakwangu kanizoea na siku nikitinga home sijachangamka kwa kileo huniuliza *leo hujaweka mafuta tutafika kweli mawenzi?* %#http://
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.