Ni trick nzur sana kuja Dar several times kwa sabab watu wengi wa Dar wana ndugu vijijin so unapowapa sumu watu wa dar watazisambaza huko interior na kuhamasisha na ikifika tym ya kwenda huko inakua ni kazi rahis kama kumsukuma mlevi....
Nna maumivu makali chini ya mbavu upande wa mgongon maumivu yanaenda wiki ya pili sasa na sijawahi kupata ajali ama kuumia kwa vyovyote sehem hiyo.... msaada kwa anayejua ivi itakua ni nn iyooo?!
Mkuu me ni mkazi wa ukonga Ukawa wana advantage kubwa ya kushinda but huyu bwana Waitara ana delay mwenyewe kupiga kampen yaan yeye anafanya kampen kivule na kitunda tu Gongo la mboto na mitaa yake hafiki na ndo kuna kura nyingi sana maeneo hayo
Umuhimu wa kuingia chumvini unaonekana hadharan. Tusikremishe kua mapenzi ni uchafu oh tunaiga wazungu sometimez michezo adimu inatakiwa i play part lazima hawe na hamu nawe tu....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.