MPENZI wako anakutembelea Home kwa kushtukiza.
mfukoni Una Mia sita Tu, unaamua kumchukulia
cocacola moja ili asione kama huna kitu. Alafu
wewe unaamua kuchukua chupa ya Sprite
unajaza maji, yeye unampa ile Coca we
unakunywa zako maji kwenye ile chupa ya sprite
(mpenzi wako anadhani...
Huu uzembe hata kwetu kimara suca upo, nyaya ziko chini sana hata mtoto anaweza kuzishika yani nihatari tupu. Wahusika sijui wako wap kuepusha matatizo kama hayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.