Hawa huwa wanamvuto sana, sema tu hawajijui......

Hawa huwa wanamvuto sana, sema tu hawajijui......

Za siku tele?... hope wote mko poa wapendwa, Katika pitapita yangu vichochoroni hata kwenye highway's nimegundua kuna watu wanaheshimiwa na kuogopwa kuliko hata maboss wa maofisini. Wa kwanza kabisa ni MANGI...huyu mtu hakwepeki mpaka masaki yuko, fanya yoote lakini usigombane na mangi wala kumdharau....... wapili ni MENEJA.....hehehehe wenzangu na mie mnajua naongelea nini hapa. Meneja ninayewazungumzia ni wa...Nyumba ya wageni na wa bar...ni nouma....ukimkuta mtu anamsomesha meneja kwenye corner, utafikiria anaongea na rais,jinsi anavyoongea kwa heshima na taadhima...... Ni mtizamo wangu tu lakini kama unaona kuna niliyemsahau unaweza ongeza.

Hahahaaaaa
 
Ni kichwa cha habari lazima kivutie...... I can read peoples mind.... kama wewe umeona mvuto ukakimbilia fasta, huoni nimesoma akiliyako inafikiria nini.

kichwa cha habar nilazima kiendane na habari yenyewe co unakua mjanja mjanja! Kama habari yako ni mbaya itakua mbaya2 and kama nzur ninzuri tu.
 
Back
Top Bottom