Recent content by SHAXY MUYA

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tusaidieni paka kafia kwenye pipa la pombe! Tunamtoaje?

    Hapo ni kunywa pombe yote kwanza ndo tumtoe
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Tigo bhana...!!!

    Ni bora kurudi kwenye cm za mezani....
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa zamani kidogo tukumbushane

    Tysc...aisee asante sana kwani umenifanya nirudi miaka ya tisini kifikra...
  4. S

    JamiiForums Tanzania BASATA na TCRA mmulike uchochezi, matusi na tuhuma zisizo za msingi

    Kipi ambacho hakifanyiki chini ya utawala huu katika nyimbo hiyo?Badala uwambie kufungia wacheza uchi...!! Unataka Roma awajibishwe,we mnyarwanda nni?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kubenea anawakilisha tatizo jipya la Uongo katika jamii!

    We meningitis ndo hujui ukweli ulikua wapi kufahamu kuwa zipo mbili...!!? Hilo linafahamika mbona miaka sasa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa acha kuhadaa Watanzania, sema ukweli wako juu ya kuchukia umasikini

    Nyie mnaosema lowasa tajiri,mbona ukiingia kwenye mitandao kujua matajiri tanzania kwenye kumi bora hayupo?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Muda wowote kuanzia sasa nitamshtaki Lowassa mahakamani

    Fanya haraka kumshitaki sasa unasubiri nni?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Elimu bure ni ndoto za abunuasi

    We unaekataa kuwa elimu bure ni mpuuzi na unapuuzia mambo ambayo yakisimamiwa vzuri elimu inawezekana kabisa,mfano ukiondoa misamaha ya kodi kwa wawekezaji na mikataba mizuri ya gesi na madini kwa nini isiwezekane?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Nimenunua shamba kwa kiinua mgongo changu

    Maramla haupo sahihi kwa kauli yako na nimoja ya uchochezi kabisa.Ujiulize kama alifanya hivyo alifanya akiwa ndani ya chama kipi?na wangapi mlonao ccm wanaofanya hayo?na je hujaskia wananchi wenyewe wakisema viongozi hasa watendaji na madiwani ndo vinara? Hizo ndo moja ya kero ambazo ukawa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sasa mtindo ndio huu

    Hata kwenye t-shirt watachana
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kubenea kumvaa Dr. Slaa

    Mchambuzi kubenea kwanza hongera kwa kushinda kesi,nasubili kwa usda mkubwa kukuskiliza juu ya huyo dr.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa hawezi kuwa Rais-Tufikie hatua tuwe wakweli na wenye kuwaza kwa kina

    Pomoja na yote alosema Slaa,ukweli nikwamba hajanibadilisha sanasana amewafurahisha wana ccm
  13. S

    JamiiForums Tanzania Sitta Ataka Mdahalo na Lowassa Kuhusu RICHMOND; Asisitiza Kuwa Lowassa ni Fisadi!

    Ukweli nazani wanaufahamu vilivyo ila wanaofia kumtia atiani kiongozi mkuu au nahata wao.Lowasa kesha waelezeni kuwa,mwenye ushahidi apeleke mahakamani.Sasa mnaogopa nini haswa?
  14. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA wazuiwa kufanya mkutano Jangwani na Uwanja wa Taifa

    Mie naona sasa tuanze kupigwa mabomu hapohapo kwani huu ni upuuzi,njama zenu zote zinatia hasira sana.Viwanja nivyawatanzania wote kwanini mtukatalie....?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nayatamani mabadiliko lakini sina imani na Edward Lowassa

    Bwana Kasao ondoa shaka juu yake kwani yupo kwa watu sahihi kaka
Back
Top Bottom