Recent content by Shashudi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Huu sasa ni mtihani

    Brother tafuta na mpeleke kwenu umtambilishe, usije ukajuta kwa kutafutiwa.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuelewa mume wangu, nikimkosea anaishia kulia

    Sasa wewe ulitegemea akufanye nini, inaonekana kuwa humpendi unafanya maigizo tu, hadi unachati na wanaume na kujionesha kwake?! Ushauri wangu kwa hili achana na uyo jamaa Kama huna mapenzi nae mapema kabla hajakula kiungo kimoja kimoja cha mwili wako.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuoneeni huruma tu, inawezekana kweli tunawakosea

    Mmh si fresh! Dah
  4. S

    JamiiForums Tanzania Aisee! Ndugu wengi wa kike ni shida

    You are wrong, si ivo unavyowafikiria wewe ila wewe ndo umawatafsiri ivo,usitetee uasharati bro.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kujuta mpaka kurudiana na X-wako sababu alikuwa na kitu special?

    Hii haiko sawa kwa kila mahusiano bali baadhi yao, kwani hakuna "universal formula" Katika mahusiano, kila couples wanatengeneza na kuharibu mahusiano kwa njia tofauti ingawa nyingi zao hufanana.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 39 - Natafuta Mchumba

    Dah!! me nikushauri tu ukajaribu yule bingwa wa dunia wa mchezo wa tennis SERENA WILLIAM kidogo mnaweza ku match.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nimwacheje huyu mama?

    Apo ni kujitayarisha kukosa ajira au uhamisho, ulijuwa uyo mama Kama unavyomwita alikuwa single? Ullichemsha kutokuchunguza na mashugamami wakikungangania athari zake ndo izo. Utakachofanya apo chochote wewe ndo utapata shida fanya maamuzi magumu broo, wajuulishe uongozi kazini ufukuzwe au upate...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwanaume mpole, usioe mwanamke wa Pwani

    Watu wawili uliowataja hawawezi kuwakilisha watu wote wa pwani utafiti wako haujakamilika ku generalize.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nimesalitiwa ila nashindwa kumuacha. Je, nimuoe?

    Mmh apo hakuna mapenzi broo utazidi kujipa mateso kuwa nae karibu, mueleze ukweli na jaribu kumsahau kidogo dogo but not easy...
Back
Top Bottom