Recent content by Sharru nadda

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wale tuliotoka familia masikini na tukatusua kimaisha tukutane hapa

    kwa maelezo yako bado hujatusua, ungesema una kampuni yako inayokuingizia kadhaa hapo ningekuelewa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

    biashara ya mbao.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kama umeajiriwa sehemu yoyote shika sana kazi yako hakikisha huipotezi, ukiipoteza utajuta

    hizi Ni habari zinakuhusu wewe na waoga wenzio wa maisha
  4. S

    JamiiForums Tanzania Najipanga kwenda Canada kutafuta maisha

    nyie wote Ni mazwazwa hamna lolote.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kama Serikali ingeamua kuongeza tozo hata kwa 100% hakuna Mtanzania angeweza kugoma

    wewe Ni mpumbavu, hivi ulishafikiria Kwanini mataifa hufilisika.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama za maisha

    fafanua hao wanyonge wanakuangushaje.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Serikali itunge sheria kuhusu uzazi wa mpango angalau watoto wawili kila familia maana kasi ya uzazi Tanzania inatisha

    resources tunazo nyingi sana za kuweza kuhudumia population ya billion people,tunachotakiwa Ni kupanua na kuboresha huduma za afya, kurekebisha mfumo wa elimu ili tuwe na elimu ya kisasa. kama madini, mistu, mafuta, gesi, water bodies , ardhi yenye rutuba, vivutio vya utalii vyote tunavyo
  8. S

    JamiiForums Tanzania Serikali itunge sheria kuhusu uzazi wa mpango angalau watoto wawili kila familia maana kasi ya uzazi Tanzania inatisha

    we Ni akili ndogo kusema watu wasizae watoto wengi Bali serikali inatakiwa iongeze production ya social services, kutanua na kuimarisha fursa za uchumi kwa Kasi ili hao wanaozaliwa waje kuwa productive.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai awashukia wasomi nchini, asema anajua watamshambulia katika mitandao

    kuitwa mheshimiwa na hizo taito za darasani yote Ni ulimbukeni hakuna la maana.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai awashukia wasomi nchini, asema anajua watamshambulia katika mitandao

    hizo Ni pumba tu, Kwani hizo taito zinawaongezea nn, huo Ni ulimbukeni na ushamba wa elimu.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Anadai ana mimba yangu, kutoa hataki, kulipa kodi hataki, kuhama hataki

    We ngosha unafeli, si umuchukue jumlajumla
Back
Top Bottom