Recent content by Sharose Enterprise

  1. Sharose Enterprise

    Pata usaidizi wa usajili wa kampuni

    Sharose Enterprise inawakaribisha wajasiriamali na wafanyabiashara wote wenye nia na huitaji wa usajili wa biashara zao. Sharose tunatoa usaidizi wa usajili wa Kampuni na Majina ya biashara kwa kutumia mfumo wa BRELA (ORS) pia tunatoa usaidizi wa kusajili nembo za Biashara BRELA. Biashara yoyote...
  2. Sharose Enterprise

    Sharose enterprise, tupo kuipa thamani biashara yako

    Tupo kwaajili yako wewe mjasiriamali na mfanyabiashara katika kukusaidia nyanja mbalimbali ya kuipa thamani biashara yako. Je, Biashara yako yako inahitaji kutambulika kisheria? Je, Biashara yako inahitaji kuwa na logo? Je, Biashara yako inahitaji kurasa za kujitangaza? Je, Biashara yako haina...
  3. Sharose Enterprise

    Sajili kampuni na sharose enterprise

    Je, una wazo la kumiliki Kampuni yako Tanzania? Karibu Sharose Enterprise tupo kwa ajili yako. Jukumu letu ni kukupatia ushauri na kukufanikishia usaidizi wa usajili wa Kampuni yako. Watu wengi wanasajili Kampuni lakini bado hawajatambua namna gani ya kuiendesha Kampuni yake, ukiwa nasi tutakuwa...
  4. Sharose Enterprise

    Maandishi hayasomeki kwenye simu

    Simu yangu ni Sumsung S6 edge. Natumia App
  5. Sharose Enterprise

    Maandishi hayasomeki kwenye simu

    Habari wataalam, Naomba msaada simu yangu kwenye mitandao ya kijamii kama facebook na instagram kuna baadhi ya maandishi hayasomeki inatokea alama tu kama zinavyoonekana kwenye picha hapo chini.
  6. Sharose Enterprise

    Ofa ya kufunga mwaka

    Tunatoa ofa ya punguzo la 60% katika usaidizi wa; -Usajili wa Kampuni kwa Tsh 100,000 -Usajili wa jina la biashara kwa Tsh 10,000 -Kuupdate taarifa za Kampuni na kutuma returns BRELA kwa Tsh 50,000 N.B: Bei hizi hazijahusisha ada za BRELA. Karibu sana tukuhudumie. Mawasiliano; Whatsapp: 0755...
  7. Sharose Enterprise

    Leo tunatoa ofa ya usajili wa Kampuni au jina la biashara kwa punguzo la 60%

    Leo tunatoa ofa ya usajili wa Kampuni au jina la biashara kwa punguzo la 60%. Ofa hii itaisha ndani ya siku tatu. Popote ulipo huduma hii itakufikia, karibu tukuhudumie. Wasiliana na kwa simu namba; 0755 440 118/0622 724 864
  8. Sharose Enterprise

    Taratibu za kufungua Microfinance

    Unapohitaji kuanzisha Microfinance na ili uweze kupata kibali cha kuendesha biashara yako kutoka BOT kitu cha kwanza cha msingi mtaji wako unatakiwa uanzie Tsh 20,000,000. Vingine; 1. Ufanye usajili wa Kampuni au jina la biashara BRELA 2. Upate TIN na Tax Clearance 3. Uwe na Sera ya kukopeshea...
  9. Sharose Enterprise

    Msaada jamani katika kufuta TIN number

    Unachohitajika kufanya hapo ni kuandika barua ya kuomba TIN yako ibadilishwe kutoka kwenye Business TIN na iwe Non-Business. Ikashabadilika hapo utakuwa salama. Ukiandika barua watakuangalizia madeni yako kama unadaiwa itahitajika ulipe madeni yako na kama hauna basi itabadilishwa lakini uwe na...
Back
Top Bottom