nilimuona siku moja ameweka miguu juu kwenye dashboard ya Gari ya Sallah wa GSM. .. nilishangaa kwa kweli walikuwa wanaelekea kigamboni tulipishana pale Nyerere bridge mhhh
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nilishangaa sana kuna dada kakataliwa kabisa huku zahanati ya segerea kupata Huduma ya clinic kaambiwa lazima aende na mwenzio jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ni bora muendelee kulipa kodi mnaweza mkajopanga mkajenga na mkahamia kabla haijaisha vizuri,, huko mnakoenda mtaenda kuyavaa majukumu mtashindwa hata kujinunulia vocha, maana kama miaka yote mawifi wapo na mashemeji wapo ila mumeo ndo aliweza mkomboa mama !!!! Mhhh bora mkapange hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.