Recent content by Sharo empress

  1. Sharo empress

    Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

    Tafuta kazi ya kufanya uwe na uwezo wa kumudu mahitaji yako madogo madogo sio kwasababu unepasuka katikati ya miguu ndio utake kuhudumiwa kama wewe ni kundi la watu wenye mahitaji maalumu.
  2. Sharo empress

    Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

    Ukiondoa Hilo tundu ulilo nalo basi huna kingine cha maana??? Unaona unastahili kuomba hela ovyo kama Omba omba kwasababu umepasuka mara mbili katikati ya miguu???
  3. Sharo empress

    Mpangilio mzuri wa bidhaa zako utakuongezea mteja mpya mmoja kila siku

    Vutia wateja wengi kwa kuboresha mpangilio wa bidhaa zako....... kwa shelves bora na za kisasa kutoka kwetu, Una jiuliza bei yake ni ngapi? Sasa, Gharama ya double shelves ni 550,000/= ( Bila vat ), Ukilipia 600,000/= unapatiwa na risti yake....... Single shelve yenyewe bei yake ni...
  4. Sharo empress

    Jiko Bomba Ni Jiko Lililotengenezwa Kutumia Unit Moja Tu Ya Umeme Mwezi Mzima

    Jiko ni la kutumia mkaa, Ila Ukipenda kuliunganisha na umeme Umeme unaoenda kutumika ni mdogo sana sawa na ule wa kucharge simu..... Ndio maana nimeandika Unit moja ya umeme, Ila Jiko unaweza kulitumia pia bila ya kuliunganisha kwenye umeme
  5. Sharo empress

    Jiko Bomba Ni Jiko Lililotengenezwa Kutumia Unit Moja Tu Ya Umeme Mwezi Mzima

    Jiko ni la mkaa, ila unaweza kuliunganisha na umeme. Adaptor inatumia ya 12V.... Mtandaoni Tunatumia jina la Jiko Bomba. Unaweza kutufatilia
  6. Sharo empress

    Jiko Bomba Ni Jiko Lililotengenezwa Kutumia Unit Moja Tu Ya Umeme Mwezi Mzima

    Kwenye Mitandao ya kijamii Unaweza Kutupata kwa Jina La " Jiko Bomba"... Kwasasa Tunafanya kazi Chini ya Serikali, Na Hakuna Risk yoyote utakayoipata Ukifanya Biashara nasisi... Kama nilivoandika hapo Jiko ni la mkaa ila Unaweza Kuunganisha na umeme ambapo linatumia Unit moja ya Umeme mwezi...
  7. Sharo empress

    Jiko Bomba Ni Jiko Lililotengenezwa Kutumia Unit Moja Tu Ya Umeme Mwezi Mzima

    Elfu 15, Umeiona wapi? Boss Majiko yetu yanaanzia Elfu 65 Elfu 85 120,000 165,000 Nakuendelea
  8. Sharo empress

    Jiko Bomba Ni Jiko Lililotengenezwa Kutumia Unit Moja Tu Ya Umeme Mwezi Mzima

    Hii bidhaa iko chini ya Serikali kwasasa. Unaweza kutembelea Ofisi Za Tirdo ambapo tunapatikana...
  9. Sharo empress

    Jiko Bomba Ni Jiko Lililotengenezwa Kutumia Unit Moja Tu Ya Umeme Mwezi Mzima

    Utateseka kuuziwa majiko ambayo hayadumu mpaka lini? Hamia Jiko Bomba Leo.... Sifa za majiko yetu 1. Yame tengenezwa kwa chuma kizito, ni imara na yana dumu sana... 2. Unaweza kutumia mkaa, chenga za mkaa, Rafiki coal Briquettes, kuni, kokoto, vifuu vya nazi, magunzi ya mahindi... 3. Jiko...
  10. Sharo empress

    Kwanini Tsh 100 inaleta mzozo Kwenye Daladala? Tatizo ni ongezeko la Nauli au ni Umaskini mbobevu?

    Thread 'Misingi 21 Ya Biashara Itakayo Ifikisha Biashara Yako Hadi Kwa Wajukuu Zako. [ MBA YA MCHONGO ]Sehemu Ya 4.' Misingi 21 Ya Biashara Itakayo Ifikisha Biashara Yako Hadi Kwa Wajukuu Zako. [ MBA YA MCHONGO ]Sehemu Ya 4.
  11. Sharo empress

    Usimdharau mtu, jifunze kupitia Historia ya maisha ya Kevin de Bruyne

    Thread 'Misingi 21 Ya Biashara Itakayo Ifikisha Biashara Yako Hadi Kwa Wajukuu Zako. [ MBA YA MCHONGO ]Sehemu Ya 4.' Misingi 21 Ya Biashara Itakayo Ifikisha Biashara Yako Hadi Kwa Wajukuu Zako. [ MBA YA MCHONGO ]Sehemu Ya 4.
  12. Sharo empress

    Je, wajua Wakristo huwasindikiza Waislamu Kufunga Ramadhan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tutafunga siku 40, vipi Waislamu Mtatusindikiza?

    Thread 'Misingi 21 Ya Biashara Itakayo Ifikisha Biashara Yako Hadi Kwa Wajukuu Zako. [ MBA YA MCHONGO ]Sehemu Ya 4.' Misingi 21 Ya Biashara Itakayo Ifikisha Biashara Yako Hadi Kwa Wajukuu Zako. [ MBA YA MCHONGO ]Sehemu Ya 4.
  13. Sharo empress

    Misingi 21 Ya Biashara Itakayo fikisha Buashara Yako Hadi Kwa Wajukuu Zako [ MBA YA MCHONGO]

    Endelea kunifatilia... Kuna msingi wa Matangazo humo nimeelezea vzuri. Maandiko yote nitashare humu
Back
Top Bottom