Recent content by Sharifu kaimukirwa

  1. Sharifu kaimukirwa

    Bajeti 2019/2020: Asilimia kubwa ya watu mitaani hawaonyeshi kuguswa; ni tofauti na miaka ya nyuma

    Jamani naomba kufaham budget ya mwaka 2019/2020 imeshasomwa? Maana sijasikia hata kupungua au kuongezeka gharama za manunuzi Naomba kuwasilisha
  2. Sharifu kaimukirwa

    Electrical technician

    Grade 1 kutoka dar tech
  3. Sharifu kaimukirwa

    Electrical technician

    Nafanya kazi kwasababu ndio fani yangu
  4. Sharifu kaimukirwa

    Electrical technician

    Nimefanya kazi na kampuni ya sengerem kwa mda wa miaka 5 katika ujenzi wa mradi wa REA phase 1 na 2 Kimakazi niko Dar
  5. Sharifu kaimukirwa

    Electrical technician

    Mimi ni fundi wa umeme wa majumbani na viwandani. Ndugu zangu ali imebana sana mwenye kazi yake inayohusiana na maswala ya umeme asisite kunistua 0657499105 /0763898012 Niko tayari kufanya kazi popote ndani na nje ya nchi* Naomba kuwasilisha
  6. Sharifu kaimukirwa

    Nataka kununua bidhaa kupitia Jumia, naomba kujua uaminifu

    Wako vizuri kiongozi wakisha kuletea bidhaa ndo unalipa wako makini sana kikubwa wape location ulipo watakupigia nakukuletea order yako
  7. Sharifu kaimukirwa

    Kwa wale wanao fahamu kuuza na kununua vitu online

    Jumia unalipia baada ya kupokea mzigo wako hawana longo longo
  8. Sharifu kaimukirwa

    Nafasi ya kazi ya ulinzi

    Silaha unazo ua natafta mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Sharifu kaimukirwa

    Mechanical Engineer

    Nitafute no 0763898012 nikupe mwongozo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Sharifu kaimukirwa

    Nauza iPhone 6s, nineitumia kwa miezi minne tu

    Finger print work Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Sharifu kaimukirwa

    Nauza iPhone 6s, nineitumia kwa miezi minne tu

    Kalatasi ya warrant ipo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Sharifu kaimukirwa

    Nauza iPhone 6s, nineitumia kwa miezi minne tu

    Haimjui fundi nauza kwasababu nimekwama co kama nauza inamatatzo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Sharifu kaimukirwa

    Nauza iPhone 6s, nineitumia kwa miezi minne tu

    Tuache longo longo lipa 400 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Sharifu kaimukirwa

    Nauza iPhone 6s, nineitumia kwa miezi minne tu

    Kasoro phone zake tu had box ukitaka nakupa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom