Recent content by shankima

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta 'Mentor' mzoefu wa kuuza na kununua viazi mviringo na kuvisafirisha

    Jamani, Mimi ni kijana wa kitanzania nahitaji kujikwamua kiuchumi na nimepata wazo la kwenda kuchukua viazi mviringo Mbeya na Iringa na kuja kuviuza mikoa ya Dar es Salaam na Morogoro. Shida yangu kubwa nahitaji nimpate 'Mentor' au mtu aliyewahi kufanya hiyo biashara angalau anipe moja mbili...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Iran has killed all spies

    Umeongea kitu cha msingi sana maana hata kama ni watalii hawawezi kukusanyana hivyo kama wanafunzi wa chekechea Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    JamiiForums Tanzania Unahitaji falsafa ya maisha, jinsi ya kuwa mstoa, misingi mitatu ya maisha bora, falsafa ya ustoa na utajiri na acha dunia ifanye yake

    Kakimbia hili ni bonge la swali mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mifereji ya Dhahabu: Pasipo Silaha, Chuki wala Ukatili

    Huyu natorbartolo story yake inapatikana humu jf wakuu? Hongera sana the bold wewe ni mtu ulienifanya niipende sana jf siyo siri
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wizi mkubwa wa pesa za noti zenye uzito wa tani 3.

    Iko poa sanaa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    Nitajie jina la blog ya the bold
  7. S

    JamiiForums Tanzania Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    Anaejua jina la blog ya the bold naomba anitajie
Back
Top Bottom