Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,671
- Thread starter
- #281
Sawa Mkuu..Niongeze kwenye taglist mkuu
Sawa Mkuu..Niongeze kwenye taglist mkuu
Yeah nimimiShukrani sana Valentina..
Karibu sana!
Kule "Behind the Scene" tayari nimeweka sehemu ya 4, 5 & 6
Alafu nahisi kama Jana nimeongea na wewe??
Zinalindwa kichawi...hizi benki zetu za kibongo sijui kama wamejifunza kitu.
Ipatie mkao mzuri isiwe shiida!!Albert Spaggiarri.
Alfred Spaggiari
mbona majina wawili kwa mtu mmoja, hii imekaa vp?
Ngoja nikae kitako sasa!Ipatie mkao mzuri isiwe shiida!!
kwan ww ni makamu msemaji wa mtoa uzi?Ipatie mkao mzuri isiwe shiida!!