Recent content by shanel mbwale

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nimehama rasmi Manchester United na kujiunga na Liverpool

    Shabiki hawezi hama team hata siku moja
  2. S

    JamiiForums Tanzania First class mistake wanawake mnafanya kwenye mahusiano

    ..a Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli acha kuwaonea dagaa mchele, anza na hawa nyangumi

    mmeambiwa mpelekeni mahamani hamtaki sasa kelele za nini kwa huyo lowassa kwa nini mnaogopa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Prof. Muhongo kuondoa umasikini Musoma Vijijini inatisha

    mshaaza kumpigia kampaign apate uwazili du!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    chibolo siyo rahisi kama marekani
  6. S

    JamiiForums Tanzania CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

    mmsamehe jamani imetosha harudii tena upumbavu
  7. S

    JamiiForums Tanzania CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

    chai chungu huo ni unafiki hayo .ndiyo unayaona leo utasutwa
  8. S

    JamiiForums Tanzania CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

    serikali ya ccm ukue kusoma na kuandika kwa hiyo no problem
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mwandishi anapozawadiwa Ubunge kwa kupendelea

    mkuu wa wilaya ya kinondondi kamzaba kofi mzee warioba kapewa ukuu wa wilaya kinondoni huoni kama hili ni balaa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kinondoni yabomoa nyumba zilizojengwa kiholela

    sasa nyie mlichagua tingatinga kazi yake ndiyo hiyo ni kubomoa tu.hapo ni kazi tu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwenye Jamhuri mengine hayawezekani, Tundu Lissu anafahamu pia

    we motochini anafanana na mwanasheria gani wa ccm.ccm wenyewe huwa wanamuomba msaada wa kisheria au hujui
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    weka muhongo hapo eboo
  13. S

    JamiiForums Tanzania CCM yasalimu amri Zanzibar

    kwa taarifa yako tu mawio linasomwa na watu wengi na ikichelewa kulinunua unskuta limeisha mzee upo hapo!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Dk. Masaburi ameonesha ukomavu wa kisiasa

    sie tunamjua nje ndani huyu masaburi hana lolote muulize shirika la uda nani ameuza
Back
Top Bottom