Recent content by Shana Boy

  1. Shana Boy

    UKAWA yahujumiwa Songea!

    Acha uongo wewe,hivi unadhani wote walioko Jf ni watoto wadogo,wenye mawazo finyu kama wewe? Soko kuu Songea kuna eneo gani la kufanyia mikutano? Sometimes uwe na staha na pia ujionee aibu kwa ku post uongo,Mikutano yote ya Chadema,NCCR MAGEUZI au Cuf inafanyikaga Viwanja vya Matalawe au Majengo...
  2. Shana Boy

    Moyo wangu unanidanganya

    Pole dada,umepangiwa kumpata wako wa peke yako,so jaribu kuwa mvumilivu, 1 day yes, karibu Matalawe
  3. Shana Boy

    Moyo wangu unanidanganya

    Pole dada,umepangiwa kumpata wako wa peke yako,so jaribu kuwa mvumilivu, 1 day yes, karibu Matalawe
  4. Shana Boy

    Nimempenda msichana mmoja tukiwa lecture sababu ya titi

    Ndio kwanza upo first year afu una waza ngono,we badala ya kuuliza utakwepaje mishale ya supp una uliza utumie njia gani kumweleza? Be care Disco is around u.
  5. Shana Boy

    Mfaranyaki Secondary itakuwa tishio kitaaluma

    Kigoma,Kagera,Lindi,Mtwara,Ruvuma,Dodoma,Dar es Salaam,Arusha,Kilimanjaro,Tanga,Singida,Mbeya,Iringa,Njombe na Tabora,hapo ukiondoa mikoa niliyo somea vyuo na sekondari na mkoa nilio zaliwa,mikoa mingine iliyo baki nimeishi kikazi kwa miezi mitatu hadi 6 kulingana na ukubwa wa kazi ninayo ifanya.
  6. Shana Boy

    Mfaranyaki Secondary itakuwa tishio kitaaluma

    Family planning bado sana mkuu hapa Ruvuma,kama una bisha jaribu kufanya simple research siku za clinic uone idadi ya wazazi wanao enda clinic na watoto wao,Alhamisi ya tarehe 27/3 nilikua Mji Mwema hospital kikazi,nilicho jionea kilikua balaa,kikubwa fertility rate na birth rate kwa wanawake...
  7. Shana Boy

    Mfaranyaki Secondary itakuwa tishio kitaaluma

    Mimi siyo mwalimu na wala sipo kwenye idara ya elimu,ila nimeamua kusema ukweli kuwa mkoa wa Ruvuma mpo nyuma sana kwenye swala zima la elimu ,jaribu kwenda shuleni kwao kuuliza hilo swala la kambi (sijui kambi gani unayo sema) kama uliwaona hao wanafunzi wanachokifanya kwanini huku peleka hilo...
  8. Shana Boy

    Mfaranyaki Secondary itakuwa tishio kitaaluma

    Kwa takwimu zilizopo,shule inayo ongoza kwa wanafunzi wa kike kuacha shule kwa kupata ujauzito ni Matalawe ikifuatiwa na London,
  9. Shana Boy

    Mfaranyaki Secondary itakuwa tishio kitaaluma

    Suala la utoro ni tatizo sugu si kwa Mfaranyaki peke yake,pia swala la uhusiano wa ki mapenzi its obvious kuwa Mkoa mzima wa Ruvua watoto na watu wazima wako very oriented kwenye ngono,so sidhani kama hila swala lina wahusu wanafunzi wa Mfaranyaki peke yake,mkoa wa Ruvuma watu wengi wana thamini...
  10. Shana Boy

    Mfaranyaki Secondary itakuwa tishio kitaaluma

    Nahisi wewe ndio una mawazo mgando,ume elewa nilicho ki post kweli? Wewe ulisema Mfaranyaki ni shule kongwe nika kujibu kati ya Mfaranyaki na Songea Boys na Girls ipi ni kongwe? Pia niku sahihishe kidogo kuwa Songea Boys na Songea Girls si shule za vipaji maalum,Tanzania kwa sasa hakuna shule ya...
  11. Shana Boy

    Mfaranyaki Secondary itakuwa tishio kitaaluma

    Wewe umeelewaje maana ya shule kongwe? Unataka kusema Mfaranyaki ni sawa na Songea Boys na Songea Girls? Mfaranyaki imeanzishwa mwaka 2007,hapo utasema ni kongwe? Just improve ur thinking capacity siyo kukurupuka kupost vitu usivyo elewa
  12. Shana Boy

    Mapenzi haya yatanishinda

    Pole sana,kabla ya kukushauri,napenda kujua historia yako na huyo mwanaume,alianza kukutongoza lini? Na kabla ya kua naye uliwahi kuwa na mpenzi? Nijibu then nitakupa ushauri wa kitu gani kifanyike
  13. Shana Boy

    The best short-time Guest House in Arusha

    Kama upo pande za town jisogeze pande ya Mrina na Shivaz,kuna guest house za kutosha...yaani za maeneo hizo ni kwere arifu,ni shidaaa
  14. Shana Boy

    Ujumbe kwa Mbunge wa Songea Mjini mheshimiwa Emanuel Nchimbi

    Mpaka muda huu umeme haujakatika,au ndio matengenezo yamekamilika nini?
  15. Shana Boy

    Ujumbe kwa Mbunge wa Songea Mjini mheshimiwa Emanuel Nchimbi

    Kweli Songea imetengwa,japo mimi ni mwana CCM,lakini kwa hali niliyoikuta hapa nina diriki kusema chama chetu kimeshindwa kazi ya kutatua kero za wananchi,wananchi ni maskini wa kutupwa,huduma za jamii zimedorora,Nape na Kinana njoeni huku muokoe jahazi
Back
Top Bottom